Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
Nina imani neno rais limetoholewa toka lugha nyingine mostly kiarabu.. Na baada ya kusanifiwa likageuzwa fasaha 'raisi'Safi kabisa.
Maana yake kiswahili sanifu ni kiswahili na kiswahili fasaha ni kiswahili. Katika kaida za kisarufi ya kiswahili hakuna tamko la kiswahili linalokosa irabu mwisho wake. Swali, ni je kwanini tamko "Rais" liwe fasaha wakati limekiuka kaida za kiusuli za sarufi ya Kiswahili ?
Mengine ni Zanzibar/ Zenjiber, Kiswahili/ Kiswahel nk