Wanawake wa JF mnanipa raha

Sasa kama ndio maisha yao ulitaka waandike uongo ili wakufurahishe!! Pambana na hali yako tu mkuu usitingishe na za wenzio.

Unapokuwa na shida unatamani kusikia wengine pia wako na shida ili upate ahueni. Hivi hata kama kaandika uongo we inakusumbua nini ikiwa haumjui na haikupunguzii wala kukuongezea chochote!!!
 
Sasa mkuu. Akiandika hayo shida inakuwa wapi? Maisha mepesi ila ukitaka kuyafanya yawe magumu lazima yawe tu.

Achana nao utakonda bureeeee.
Kukosa kazi nako kazi kwakweli.
 
Nahitaji maandazi 10 AKA vitafunwa kwa breakfast Jumatano asubuhi. Niambie kiasi gani na kama nije kuchukua mwenyewe au utanipitishia maskani.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›


Hahahaaa. Bado napika kaka. Ila hapa yamenidodea leo nataka nirudi nayo nyumbani nitayapasha kesho niyauze tena.

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Jamii ya JF si jamii ya kawaida ambayo unaishi nayo mtaani....JF ni ulimwengu mwingine kabisa
 
Hahaha

Watu wanapenda kuskia hali mbaya sio nzuri.
 
Huh!! Mbona hali zote mie huwa nazisoma humu!! Mtu akisoma mbili za walio vizuri anajumuisha ni woote.
Anataka wote tufanane.... Halafu nashangaaa watu wanashangaa mmbo ya kawaida.
 
Wengi walio pitia vyuoni ni waigizaji wa maisha. Kama walivyo zoea vyuoni. Wanatutabisha mitandaoni kwamba wao ni magenius.


#naenda_zimbabwe
 
Nahitaji maandazi 10 AKA vitafunwa kwa breakfast Jumatano asubuhi. Niambie kiasi gani na kama nije kuchukua mwenyewe au utanipitishia maskani.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hahahaaaa. Nikishakuletea ndio tutaelewana kiasi gani huko huko. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…