Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Saana venye unanipenda wewe si ndiyo ndimumkata shombo wanguDo you know how much I love you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saana venye unanipenda wewe si ndiyo ndimumkata shombo wanguDo you know how much I love you?
Na wajua vile mi nna wivu juu yakoSaana venye unanipenda wewe si ndiyo ndimumkata shombo wangu
Haahha... Najua saana mamyNa wajua vile mi nna wivu juu yako
Eh kafanyaje huyo mzigua?
Ni ndugu yetuEh kafanyaje huyo mzigua?
Kukosa kazi nako kazi kwakweli.Sasa mkuu. Akiandika hayo shida inakuwa wapi? Maisha mepesi ila ukitaka kuyafanya yawe magumu lazima yawe tu.
Achana nao utakonda bureeeee.
Hahahaaa. Bado napika kaka. Ila hapa yamenidodea leo nataka nirudi nayo nyumbani nitayapasha kesho niyauze tena.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndugu zako nawajua, huyu mbona hafananii?Ni ndugu yetu
Nitamleta kumtambulisha vizuri umfahamuNdugu zako nawajua, huyu mbona hafananii?
HahahaSasa kama ndio maisha yao ulitaka waandike uongo ili wakufurahishe!! Pambana na hali yako tu mkuu usitingishe na za wenzio.
Unapokuwa na shida unatamani kusikia wengine pia wako na shida ili upate ahueni. Hivi hata kama kaandika uongo we inakusumbua nini ikiwa haumjui na haikupunguzii wala kukuongezea chochote!!!
Huh!! Mbona hali zote mie huwa nazisoma humu!! Mtu akisoma mbili za walio vizuri anajumuisha ni woote.Hahaha
Watu wanapenda kuskia hali mbaya sio nzuri.
Anataka wote tufanane.... Halafu nashangaaa watu wanashangaa mmbo ya kawaida.Huh!! Mbona hali zote mie huwa nazisoma humu!! Mtu akisoma mbili za walio vizuri anajumuisha ni woote.
Hahahaaaa. Nikishakuletea ndio tutaelewana kiasi gani huko huko. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nahitaji maandazi 10 AKA vitafunwa kwa breakfast Jumatano asubuhi. Niambie kiasi gani na kama nije kuchukua mwenyewe au utanipitishia maskani.
😛😛😛
Umeona dada ake. Kweli kabisa yaani anatafuta chochote akifanye ndio kazi.Kukosa kazi nako kazi kwakweli.