Wanawake wa JF tukutane hapa

Uu uzi wa wanawake na kilichonileta uku sijui nn!!siku ishaharibika
 
Weeee kwahy ni shombe shombe hiv[emoji134]

Ngoja nimuulize kwanza mbona naona kama malengo yangu yanatimia sasa
Chura ipo???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dada yangu emmyta usivujishe siri
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali

Hahahaha nmecheka kwa nguvu daah et kibamia kitakativu ........
 
Siku hiz mambo ya flat screen bana,chogo(chura) mambo ya kizamani hayo usidanganyike[emoji23]
Hapo naona CV inazidi kuimarika.

Sasa kwa nini ninyi mtake shombe shombe ilihali mnayoyatarajia yanataka ubinifu wa hali ya juu.
 
Hahahaha aisee sidhani kama nishawahi tamani muonekano wa mwanaume mwenzangu maana mimi pia ni moto wa kuotea mbali
Huyo wa kawaida tu afu ishu ya vibamia mbona ni maamuzi tu ya mtu maana akiamua kukukuzia inches 8 ni wiki mbili tu dude linakua halishikiki


Me ni handsome bhna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…