Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahaaa! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahaaa mungu anakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahaaa mungu anakuona
Chura ipo???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Weeee kwahy ni shombe shombe hiv[emoji134]
Ngoja nimuulize kwanza mbona naona kama malengo yangu yanatimia sasa
Wanawake bhana mna kazi sana, ni kipi kilichokuvutia hasa
Inabidi utafute pesa za kutosha mkuu, unaweza washawishi [emoji3]Kwa hiyo sisi mapoligoni ndio basi tena? haya bwana
Siku hiz mambo ya flat screen bana,chogo(chura) mambo ya kizamani hayo usidanganyike[emoji23]Chura ipo???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dada yangu emmyta usivujishe siri
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Hahah acha niwe msomaji bure maana....[emoji125] [emoji125] [emoji125]We isipate taabu maana hakuna mmasai handsome[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapo naona CV inazidi kuimarika.Siku hiz mambo ya flat screen bana,chogo(chura) mambo ya kizamani hayo usidanganyike[emoji23]
"Wanasema yupo kwenye paper".Joseverest
Hahahahh mkuu mi sijawahi kufunga PM,nisamehe kama imesound kama kibano kwakoDuh, quote ya kwanza tu kibano! Kumbe TX Moshi hakukosea alipoimba 'ukizaliwa mwanaume we ujue kila kitu kwako kitakuwa ni taabu'! Ngoja nibadili mbinu
Hahahaha aisee sidhani kama nishawahi tamani muonekano wa mwanaume mwenzangu maana mimi pia ni moto wa kuotea mbaliHivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu muache handsome wangu.