Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote