Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
Screenshot_2017-11-04-17-03-28-1.png
Screenshot_2017-11-04-17-09-35-1.png
 
Sisi tunaokaa na mabosi wa tanzania huku Dodoma kila saa tunapishana nao kama njugu na unajichagulia tu sema huwa wanajishaua sana na kitandani sifuri
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
 
Back
Top Bottom