Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Kama kweli aisee... Chaga na Sukuma huwa maisha yana match vizuri sana... Wasukuma ni watu wa kuridhika faster ila kuchapa kazi no uvivu and chaga hawezi ridhika au kukata tamaa kirahisi so huyu analala huyu anamuamsha so kuna kuwa na perfect movements and Msukuma anakuwa kinga ya mchaga hata akiiba anasema sisi ni wachapa kazi... and hii imekuwa hivyo miaka na miaka.. and ni rahasi sana kuelewana ndani ya nyumba Msukuma huwa anajishusha kupunguza kelele and hana visasi vikali kama Wanaume wa makabila mengine kama Wasmbaa, Meru, Kurya n.kWanaume wa kisukuma wana uzito fulani vichwani, wanawahitaji wachaga ili wawachangamshe.
Hivi niulize kuna mwanamke wa kichagga keshaolewa na Mkurya? naombeni hints japo kidogo