Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Huyo wa kupigwa stuli ya ugoko kwa vyovyote vile atakuwa ni BM - Benard Morrison. 😂🤣
 
wamefurahi waume zao kufa maana wao hupenda mali
 
Pia kati ya ndo 5 zinazofungwa maeneo ya mjini kama Dar 3 lazima Mchaga awe mmoja
ya couple hiyo
Kama ni hivyo Jua kuwa kuna tatizo, na vijana wengi watakuwa wanashinikizwa kuingia kwenye pingu za maisha pasipo kutambuana vizuri na utakuta kuna msukumo flani kutoka kwa binti wa iwe isiwe lazima ndoa ifungwe, wakati kuna makabila mengine kufunga ndoa sio lazima sana ilimradi tu nyie ishini kwa amani mkijisikia kufunga ndoa fanya hivyo kwa wakati wenu mnaotaka nyie na sio mashinikizo kutoka kwa wazazi wa binti.
 
Samahani kwa kuzaliwa mnene

Samahani kwa kuzaliwa mwembamba



Maana upataji wako wa hela sijui walianza kukujudge wapi!? Kama bado haujafika kwa mama yako Ajiri Utumwa.. Sijui Shule, Sijui Hospitalini, Sijui Hotelini, Sijui Mtaani, Sijui kazini, Sijui msikitini/Kanisani/Sijui msibani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…