DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hawa wanawake wa kiislamu huwezi kukuta wanakosa mwanaume wa kumuweka ndani.
Kumbe ukivaa vizuri, ukajitunza, basi wanaume watakuweka ndani. Sasa hawa wanajipoa weee then wanaishia kuwa single mother na kujiingiza katika kampeni uchawara za feminist.
Nimegundua hili jambo kuwa mwanaume mwenye upendo na focus hawezi kuokoteza mwanamke hasa wanaosuka makatani kichwani, na kucha za super-glue.
Maisha ni formula ukitaka kuolewa vaa vizuri, kuwa na adabu salimia watu, achana na kusuka katani kichwani, wanaume hawapendi uchafu maana ni roho mtakatifu.
Huko kwa Mwamposa hutoboi, hata dada zangu nyumbani nimewapa hii mbinu na juzi tumepokea barua moja na sukari ya Ramadhan.