Uislm ulitoka kwa waarabu. Quran inamtaka mwanamke kumtii mumewe tena inasema pepo ya mke ipo mikononi mwa mumewe. Utii, upole, utulivu ndio wanaume wote wanataka.
Quran inaongeza kuwa, laiti kama Mungu angeruhusu binadamu kumwabudu binadam mwezie basi mwanamke angemwabudu mume wake. Yote haya yanamfanya mwanamke wa kiislam kuwa na utii na mumewe, na ndio kitu mume anataka. Waarabu bado wanayafuata maandiko hayo. Na waarabu ndio wana interact na waislam.
Biblia ilitoka kwa wazungu nchi za magharib. Biblia inaeleza vizuri tu juu ya mke kumtii mumewe. Ila wazungu walianza kuleta mambo ya haki sawa. Wanawake wakapoteza utii. Na hao wazungu ndio wana interact na wakristo.
Akili kichwani