PreGE2025 Wanawake wa Kiislamu wamuomba Rais Samia awafadhili kwenda Hijah

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini.

Akizungumza jijini Dar es salaam leo Machi 26,2025 kwenye kongamano lililowakutanisha wanawake zaidi ya 1,000 mwanzilishi na Mwenyekiti wa Ladies In Islam, Salha Aziz amesema “Wanawake wa Kiislamu tunakabiliwa na changamoto ya fursa chache za kwenda Hija na Umrah , wengi wanakosa fursa ya kutimiza nguzo hii ya Uislamu kwa sababu ya hali ngumu ya maisha na kipato duni.”

“Tunamuomba Rais afadhili wanawake wa Kiislamu wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka, kulingana na idadi atakayoturidhia, hili litawapa fursa ambao hawawezi kumudu gharama za ibada hii muhimu kufanikisha wajibu wao wa kidini”

“Tunakuomba kwa moyo mkunjufu upokee maombi yetu na utusaidie kuyafikisha kwa Rais ili tuweze kufanikisha lengo hili kwa baraka za Mwenyezi Mungu, tunaamini kuwa kwa msaada wake, ‘Ladies in Islam’ itaendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa wanawake wa Kiislamu na jamii kwa ujumla. “Tunamuomba Rais Samia atusaidie pia kupata eneo la kudumu kwa ajili ya ofisi yetu ili tuweze kutekeleza shughuli zetu kwa ufanisi zaidi”


Mgeni rasmi wa tukio hilo la leo ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Zena Said Ahmed ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan.

Your browser is not able to display this video.

My take
Sijui ni nani huwa anatuhujumu Hii Dini yetu. Siyo Bure tunahujumiwa. Mara ya pili hii tunaongea hivi
 
Wewe sio muislamu so acha waombe wanachotaka sio kulazimisha.
 
Hapo kuna shida gani? Kila mtu ana vipaombele vyake, kwama wewe unataka dawa za maleria sawa pands sawa chumvi sawa tusipangiane mahitaji na vipaombele.
Sawa mzee wa VipaOmbele.
 
Tulia wakapapaswe na wenyewe kwani unadhani hawana hisia............yaani kule hakuna chupi wala taiti na ni mwendo wa kushika kaaba sasa watu walivyojazana mpaka uiguse ndio kasheshe hapo lazima watu wadindishane
 
Mbona we sio muislamu lakini tayari we mpumbavu .
Mpumbavu umuona mwenye akili kuwa ni mpumbavu na kujiona yeye yupo sawa...hivyo wewe kuniona mimi ni mpumbavu ni ushahidi kuwa wewe ni mpumbavi kamili ...tukitaka kujua mtu mpumbavu kuna proof mbali.mbali tunaweza kujitumia ....mfano nitakuuliza eleza upumbavu wangu ni nini alafu mimi nije nieleze upumbavu wao ni nini
 
Kama umesema Raisi wa jamhuri ya Tanzania na waziri mkuu hawana akili kwasababu ni waislamu ni ishara tosha kwamba wewe anae tawaliwa nao huna akili zaidi, nimetumia kigezo hicho kusema we ni mpumbavu.
 
Mbona we sio muislamu lakini tayari we mpumbavu .
Wapumbavu siyo tu waislamu hata,wasio waislam Wapumbavu wapo sema nyinyi mmezidi sana kuwa wapumbavu
 
Hizo pesa wanamaanisha mama atoe mfukoni mwake, au atoe kwenye kodi za wananchi, kama ni mfukoni mwake sawa ila kama ni kodi za wananchi hatutaki huo upumbavu

Yani nchi ambayo mambo ya msingi kama maji, umeme, afya, elimu, nk bado ni tatizo, mijitu inawaza kuenda kutajirisha nchi nyingine ambayo uchumi wake uko vizuri, kwa kisingizio cha ibada ya muhimu sijui upuuzi gani

Kwanza dini zote hapa duniani ni za uongo lakini waislam uongo wao sijui uliwekwa nini, hadi wengi wao wamekuwa wapumbavu kiasi hiki hawawezi hata kureason, na mbaya zaidi wanalazimisha kila mtu akubaliane na huo upumbavu wanaoamini
 
Kama umesema Raisi wa jamhuri ya Tanzania na waziri mkuu hawana akili kwasababu ni waislamu ni ishara tosha kwamba wewe anae tawaliwa nao huna akili zaidi, nimetumia kigezo hicho kusema we ni mpumbavu.
Jibu ...siku zote mwenye akili utawaliwa na mpumbavu pale inapokuwa jamii kubwa ya wananchi ni wapumbavu kuliko wenye asilimia kubwa ta watz ni wapumbavu na nilisha sema hapa JF kuwa KANUNI INASEMA WAPUMBAVU UCHAGUANA WAO KWA WAO ILI KUTAWALA, NA WENYE AKILI UCHAGUANA NA WENYE AKILI WENZAO HILI KUONGOZA .....WANANCHI WAPUMBAVU UCHAGUA VIONGOZI WAPUMBAVU NA VIONGOZI WAPUMBAVU UCHAGUA WANANCHI WAPUMBAVU KUONGOZA NAO HIYO NDIYO SABABU YA MIMI KUONGOZWA NA WAPUMBAVU.
 
Kwanza dini zote hapa duniani ni za uongo lakini waislam uongo wao sijui uliwekwa nini, hadi wengi wao wamekuwa wapumbavu kiasi hiki hawawezi hata kureason, na mbaya zaidi wanalazimisha kila mtu akubaliane na huo upumbavu wanaoamini
HICHI KIPANDE KIMEJAA UKWELI AMBAO UNAWACHOMA SANA NA HAWATAKI KUUSIKIA WALA KUUELEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…