Wanawake wa Kinyakyusa

Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
UDEMELISM maana yake ni: imani ya kwamba PEDI ni kwa ajili ya wanawake,umezoe mwanaume unaoshare naye PEDI eeh,sio wa kinyakyusa...
Inaonekana kweli una kwesa makambo du!! Ila punguza makali ya maneno mueleweshe tu taratibu ikwani hata kaka zake klama anao ndiyo vichwa huko kwao.
 
haya sasa_na hili nalo litapita!

Yeye ndiyo mgalugalu bana mwanamke ni mwanamke tu hata iweje kama baba, kaka zake ni waluga hukohuko...................... asijitie kujua
 
washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...

Reading between the lines na hapo kwenye rangi nyekundu, kisaikolojia mtu atagunduwa kwamba unawa-admire kwa mbali kwa maumbo yao lakini kwa kutaka to get even nao basi ndiyo unawaponda bila sababu za msingi! Twambie ukweli waliwahi kukunyanganyi nini au kukukwaza nini katika maisha yako, sisi tuanjuwa wanavyo lelewa kuwasema kwamba ni WASHARI naona unawazulia TU.
 
mmmh kwa wanawake wa kyela mmmmmh maana wale midomo, unafiki, kujisikia, dharau kwa ndugu wa upande mwingine na kujiona wao ndo wanajua mhhh
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!

Wanyakyusa wasafi ile mbaya, hata wajerumani waliwafagilia....

‎"We wandered through magnificent banana groves and elegant, cleanly built huts of our Nyakyusa. When one contemplates the people it appears as though they celebrated a festival every day. They look as clean as though they knew no work. One sees women and children picking fallen fruit from the ground while men and young people walk mostly hand in hand.... The entire image gives a charming picture, really more lovely than words can express." - Deutsch Arbeit am Nyaßa
 
wanajua kulia sana,
wanauwezo wa kukaa msibani hata mwaka mzima,
wanauwezo wa kupata mimba huko huko msibani na wakarudi nyumba na mtoto,
ni hodari kubeba watoto mgongoni,
ni hodari kuvalisha watoto nguo za kuwakinga na baridi,
anauwezo wa kwenda mbali na nyumbani kwa ajili ya biashara yake ya ndizi,
atakaporudi nyumbani ni lazima amnunulie mume wake shati na suruali hata kama ya mtumba.
wagumu sana kutoa msaada,
Ndio kwanza nasikia
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!

Binafsi nimewahi kuishi nao shule ya sekondari, vyuoni na sasa kazini, kwa kweli walio wengi kati ya hao niliokutana nao ni WANAFIKI wanapenda sana backbiting' kujitia wanakupenda kumbe behind your back they try to eliminate you esp maeneo ya kazini.
 
Kaka kamwe siwezi kupaniki kwa maneno ya uongo uongo kama wa ccm wauza ndizi ni wandali, wasafa na wengineo ambao kamwe hawawezi kusema makabila yao aidha nadhani kupaniki kisa mchaga au mkinga kaongea utumbo hilo siwezi kufanya ila chimbavizuri labda tena labda unaweza kujua maana mwalimu wako nadhani ni msafa.
Heeee lutamyo kumbe kama ID "uli nu lutamyo", acha kudanganya watu.yupo sahihi kabisa
 
Acha kudanganya watu wewe ni kabila gani ambalo halina wahalifu?kila kabila lina mazuri na mabaya yake

Wanyakyusa wamezidi bw. Acha kupinga ukweli. Babu wa Louwongo (Mwaisapili) ni mnyakyusa, waimbaji gospel (wasanii) wengi ni wanyakyusa, wahubiri wengi kina Mwakashenge ni wanyakyusa......

Ila hili la kuua wenye vipara nina rafiki yangu alipangiwa kazi Mbeya, siku moja akiwa dukani jioni aliona watu wakimfatilia. Alipowasikiliza vizuri akakuta wakipiga bei kichwa chake (ana kipara kama ngoma ya kitongoji). Alikimbilia polisi na tangu wakati huo ukimwambia WANYAKYUSA anapiga magoti na wakuwaombea dua mbaya.
 
Nina besti yangu mnyakyusa. She's kind, charming, anajipenda sana na mchapakazi. Tatizo lake tu ana hasira za karibu mno! Na akinuna amenuna kweli. Sijui kama wengine wameyakuta haya kwa wanyakyusa wengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom