IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
wewe ndiye umeandka ujaona ubaya wao kama kabila au ni ID mbili tofauti.dada unafki uo sasa ukizeeka utakuwa mchawi wewe!
Umeona eeeeee....ana hatari huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndiye umeandka ujaona ubaya wao kama kabila au ni ID mbili tofauti.dada unafki uo sasa ukizeeka utakuwa mchawi wewe!
nimegundua unafki i silaha muhimu kuforge mahusiano[
mimi nimegundua hata maisha yako ni ya kuforge...right!
Inaonekana kweli una kwesa makambo du!! Ila punguza makali ya maneno mueleweshe tu taratibu ikwani hata kaka zake klama anao ndiyo vichwa huko kwao.UDEMELISM maana yake ni: imani ya kwamba PEDI ni kwa ajili ya wanawake,umezoe mwanaume unaoshare naye PEDI eeh,sio wa kinyakyusa...
haya sasa_na hili nalo litapita!
Balinamatingo fijo kikolo!
hivi wanawake wanaoponda sana wenzao ni kabila gani vile?
Kwa hili upo sahihi kabisa!
washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...
kweli ni washari sana. mdomo kwa kwenda mbele
Tupe uzoefu!Mmesema yote kuna moja bado....... hasa linalohusu kitandani!!
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
kwani Kyela sio mjini?wanapenda kujibust
kujiona wao ndo wao
wanajua kila kitu
wanataka waongoze kwa kila sekta
kujifanya wamjiniiii kumbe mweeeeeeeeeeeee katoka kyela jana
Ndio kwanza nasikiawanajua kulia sana,
wanauwezo wa kukaa msibani hata mwaka mzima,
wanauwezo wa kupata mimba huko huko msibani na wakarudi nyumba na mtoto,
ni hodari kubeba watoto mgongoni,
ni hodari kuvalisha watoto nguo za kuwakinga na baridi,
anauwezo wa kwenda mbali na nyumbani kwa ajili ya biashara yake ya ndizi,
atakaporudi nyumbani ni lazima amnunulie mume wake shati na suruali hata kama ya mtumba.
wagumu sana kutoa msaada,
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
Heeee lutamyo kumbe kama ID "uli nu lutamyo", acha kudanganya watu.yupo sahihi kabisaKaka kamwe siwezi kupaniki kwa maneno ya uongo uongo kama wa ccm wauza ndizi ni wandali, wasafa na wengineo ambao kamwe hawawezi kusema makabila yao aidha nadhani kupaniki kisa mchaga au mkinga kaongea utumbo hilo siwezi kufanya ila chimbavizuri labda tena labda unaweza kujua maana mwalimu wako nadhani ni msafa.
mkono sweta vp !? Ulikabiliana nao?some how!!@katavi
Acha kudanganya watu wewe ni kabila gani ambalo halina wahalifu?kila kabila lina mazuri na mabaya yake