wanawake wa kipare

Mrembo by Nature ava vantu vetuteta uvivi kangi tevena shima neri. Hanini vetudharau huo. Mira wanitwaa nguma ambu ii mburi nami naraikicha aha. Kangi vaire iti nivakundie varumburya vangu na sienda vekigaywa uvivi

Aha vekaie urundu aha, wekivonie mndu eguha ekiza aha online kuvwija badala ya kutonga uko havo mbora na kuvwija majirani kuhusu tabia ya ukoo wavo?
 
Karibu sana usukumani kutana na wanawake wenye ukarimu wa hali ya juu...
Cc: charminglady

Ivi kweli? Ni wanawake wa kabila gan hapa TZ wanaongoza kwa ukarimu, Ukorofi, kupenda ngono, ubinafsi, uzuri, ufupi/urefu, weusi, weupe? Taja kila sifa na kabila lake! all.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Hakika avae sasa hawa wanataja mapungufu mengi tu nakusema wapare wanayo wakati hata dada zao nyumban wanazo hizo tabia nasio wapare.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

kweli kabisa watu8 kakangu.. Maselfish wasioeleweka..
 
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:

Ukishamuoa utaamini haya.. Just go ahead
 
Hakika avae sasa hawa wanataja mapungufu mengi tu nakusema wapare wanayo wakati hata dada zao nyumban wanazo hizo tabia nasio wapare.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hicho we teta nkweri ambu ena vangi vekoma va ume vavo ila c tupo kimya tu.
 
Ivi kweli? Ni wanawake wa kabila gan hapa TZ wanaongoza kwa ukarimu, Ukorofi, kupenda ngono, ubinafsi, uzuri, ufupi/urefu, weusi, weupe? Taja kila sifa na kabila lake! @all.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

1. Ukarimu-wasukuma
2. Ukorofi-kurya
3. kupenda ngono, ubinafsi- haya
4.uzuri(sura)-chagga
5.ufupi-pare
6. weusi-jaluo,nyakyusa
7.weupe-watu wa kaskazini chagga,pare,meru n.k
8.majugu-kerewe

:behindsofa:
 

Nakupa Tano nzima nzima Mkuu. Mi nilizaliwa katika familia ambayo wakubwa zangu wote walikuwa mama mmoja (tulichangia baba).Baba akawa ameshastaafu miak hio na mimi nikiwa bado mdogo ndio tu kwanza nimemaliza STD 7. baba akaomba sister anisaidie ADA ya shule (secondary). Sister alinisimulia baadae kuwa alimwambia rafiki yake ambaye ni Mpare ameolewa na ndugu yetu (anamwita baba tetu Mjomba), yule mama alimshauri kuwa asihangaike na mimi. Baba ajue mwenyewe namna ya kunisomesha na akasema yeye hio habari hataki kuisikia kabisa na ameikomesha na mme wake ambaye ana utajiri mkubwa sana wanaishi ARUSHA amelazimika kufuata maelekezo yake. Hivyo akamtaka sister naye afuate njia hio.
 
1. Ukarimu-wasukuma
2. Ukorofi-kurya
3. kupenda ngono, ubinafsi- haya
4.uzuri(sura)-chagga
5.ufupi-pare
6. weusi-jaluo,nyakyusa
7.weupe-watu wa kaskazini chagga,pare,meru n.k
8.majugu-kerewe

:behindsofa:[/Weka Wanyiramba mara Moja wewe.QUOTE]
 
Wanapenda nje sana, wanafiki sana, wachoyo sana. Huyo wako anasubiri umuoe ndipo utaona picha halisi.
 
 


ha ha ha ha ha ha a,pole sana, Eli79 kila kabila lina mapungufu yake, hata sisi tunasemwa sana,mtu ni tabia yake na si kabila,ila ukienda kuoa kwa vile wanasemwa sana utakuwa umefuata kabila na si mapnz ya kweli
 
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!

Una umri gani? Wewe ni kabila gani?
 
Wawili kaka pia nina mifano hai mingi from my close friends..! Asante kwa kuniachia hii mambo ya kabaang..!
 
hivi una uhakika na ulichokiandika wewe watu8 kuwa wanawake wa kipare ni wachoyo, wabinafsi umefanya utafiti jamani sisi hatuko hivyo kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…