ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Watani zangu. Nasikia wanapenda sana ile kitu. Oa uje unipe ukweli.
Kitu gani tena mtani? Funguka tukuelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watani zangu. Nasikia wanapenda sana ile kitu. Oa uje unipe ukweli.
Mrembo by Nature ava vantu vetuteta uvivi kangi tevena shima neri. Hanini vetudharau huo. Mira wanitwaa nguma ambu ii mburi nami naraikicha aha. Kangi vaire iti nivakundie varumburya vangu na sienda vekigaywa uvivi
Karibu sana usukumani kutana na wanawake wenye ukarimu wa hali ya juu...
Cc: charminglady
Aha vekaie urundu aha, wekivonie mndu eguha ekiza aha online kuvwija badala ya kutonga uko havo mbora na kuvwija majirani kuhusu tabia ya ukoo wavo?
Mkuu, kila kabila lina mapungufu yake!
* Wanataka kutuambia kuwa wanawake wanaotoka nje ya ndoa na kugongwa ovyo wote ni dada zetu?
* Wanaoachia mtandao rahisi wote ni wapare?
* Wasengenyaji, wafupi, dharau na kiburi wote wapare!
Kama hawawataki tutawaoa sisi wenyewe.....teh! teh! Lorisy asiione hii thread, damn!
to be honest...
Wanawake wa kipare nadhani wanafaa kuolewa na wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
Hakika avae sasa hawa wanataja mapungufu mengi tu nakusema wapare wanayo wakati hata dada zao nyumban wanazo hizo tabia nasio wapare.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kitu gani tena mtani? Funguka tukuelewe
Usukumani tena? Mlete hapa nimkague!
Ivi kweli? Ni wanawake wa kabila gan hapa TZ wanaongoza kwa ukarimu, Ukorofi, kupenda ngono, ubinafsi, uzuri, ufupi/urefu, weusi, weupe? Taja kila sifa na kabila lake! @all.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
1. Ukarimu-wasukuma
2. Ukorofi-kurya
3. kupenda ngono, ubinafsi- haya
4.uzuri(sura)-chagga
5.ufupi-pare
6. weusi-jaluo,nyakyusa
7.weupe-watu wa kaskazini chagga,pare,meru n.k
8.majugu-kerewe
:behindsofa:[/Weka Wanyiramba mara Moja wewe.QUOTE]

ha ha ha nkyalomkonza mkate nama!!!
mi nimeishi nao muda mfupi wanahusudi sana ushirikina....
Mkuu, kila kabila lina mapungufu yake!
* Wanataka kutuambia kuwa wanawake wanaotoka nje ya ndoa na kugongwa ovyo wote ni dada zetu?
* Wanaoachia mtandao rahisi wote ni wapare?
* Wasengenyaji, wafupi, dharau na kiburi wote wapare!
Kama hawawataki tutawaoa sisi wenyewe.....teh! teh! Lorisy asiione hii thread, damn!
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
Wawili kaka pia nina mifano hai mingi from my close friends..! Asante kwa kuniachia hii mambo ya kabaang..!Umekuwa na uhusiano na wangapi? manake kama ni mmoja sidhani kama una uzoefu wa kuwasema wote kiasi hicho. Mimi natoka huko, i know them....all i can say, they are good in bed, in fact they are among the best and i thought that's exactly what men wanted, hiyo ya kabaang nakuachia wewe!
wanapenda kupigwa nje sana....take care...