Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

Kumridhisha sio muhimu sana maana hata asiporidhika atazaa tu. Kama Muumba hakuzingatia, we kiumbe unapata wapi ujasiri wa kuzingatia.
Usijiumize. Pambana kadiri utakaona inafaa afu pita hivi. Una muda mchache wa kkusaka pesa na kula bata.
 
Vyoo vya kishua kivipi wakati mimi kwangu nalitumia na ofisini pia nalitumia
We wakishua!! Sisi wengine zaid ya kutumia kopo hatutoboi... Na ofisi zetu miguu yetu! Elimu ya Darasani mpaka sasa haikutusaidia kitu zaid ya kupoteza muda tuu..
 
Kila siku nawaambia vijana achaneni na huu upumbavu wa kutaka kumridhisha mwanamke. Tupo kwenye zama za 50/50 mkiwa katika mahusiano kila mmoja ajihudumie mwenyewe, ajiridhishe mwenyewe. Haki sawa/wajibu sawa.
 
Back
Top Bottom