Future eyes
Senior Member
- May 30, 2022
- 128
- 71
China inakabiliwa na tatizo la kutokuzaa sana, Serikali hadi ikaamua kufuta sheria ya ukomo wa mtoto 1 ila pamoja na hayo hakuna kilichotokeaChina pekee ina 1.3 bilioni ndiyo nchi inayokuwa kwa kasi kiuchumi kutokana na ukuwaji wa soko/watu.
Nyie hao wazungu mwaka 1974 England walikuwa zaidi ya miaka 80 leo Tanzania mupo 60 mil mnajiona mpo wengi.
Mmetawaliwa na wazungu
Sawa Afande, ungekuwa na akili usingetuma videoPoint yako ni nini ? Kama ungetumia akili hata usingeandika ulichoandika. Ovu linalofanyika katik watu wachache ni rahis kuonekana kuliko maovu meng yanayofanywa palipo na watu weng, ni vgm kuyafichua.
Kuna wakati Tuache kuoangiana mambo.Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.
Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.
Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.
Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho
Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.
Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Siongei kuhusu kutokuzaa nimekuambia idadi yao ni kubwa hilo kutokuzaa serikali inajua ilifanya nini watu wake.China inakabiliwa na tatizo la kutokuzaa sana, Serikali hadi ikaamua kufuta sheria ya ukomo wa mtoto 1 ila pamoja na hayo hakuna kilichotokea
Kwa kuanziawatano wengi hivyo
Sahihi dependants ni wengi wamezidi wazalishajiSiongei kuhusu kutokuzaa nimekuambia idadi yao ni kubwa hilo kutokuzaa serikali inajua ilifanya nini watu wake.
😅😅😅Wewe mleta mada utakua unapingana na wanaotaka wapiga kura wengi
Kadri wanavyokosa mahitaji ya msingi ndio ambavyo vibaka,mateja,wapiga debe pamoja na wale jamaa zake Lema wafukuza upepo wanaongezeka
Kweli hili lipo sanaNajua unaongea tu hujafika huko vijijini ukiwa na kauwezo kidogo nyumba yako inageuka kituo cha omba omba,wanaomba hadi mchicha pori,tuzae watoto tunaowamudu,watoto kumi sio jambo jepesi hata kama una uwezo.
Lakini hao ndio wapiga kura na mtawala ni aliyepata kura nyingi. Watakuja kukutawala tu.Ni kweli Watu ni raslimali ya Taifa. Lakini ni wale wenye afya njema tu. Wale Wenye utapiamlo na afya mgogoro badala ya kuwa rasilimali, wanageuka kuwa mizigo kwa Taifa.
Njia pekee ya kukabiliana na hii hali ni elimu. Hususan kwa wanawake.Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.
Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.
Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.
Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho
Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.
Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
Kweli kabisa,umasikini wetu kura zaoWewe mleta mada utakua unapingana na wanaotaka wapiga kura wengi
Kadri wanavyokosa mahitaji ya msingi ndio ambavyo vibaka,mateja,wapiga debe pamoja na wale jamaa zake Lema wafukuza upepo wanaongezeka
Unamaanisha maskini ndio wapiga kura?Kweli kabisa,umasikini wetu kura zao
Ni hoja ya msingi sana, isipuuzwe hata kidogo. Ipewe kipaombele kote nchini.Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini, hajui siku za hatari na salama ni zipi.
Unakuta mama ana mtoto wa miezi mitatu tayari ana mimba. Kabla hajakaa sawa binti yake wa miaka 15 naye ni mjamzito. Yaani unakuta mjomba ni mdogo kiumri kuliko mpwa wake. Imetokea mara kadhaa mama na binti yake wanakutana labor kujifungua, sasa, sasa mtoto wa huyu binti unakuta wakati mwingine ananyonya maziwa ya bibi yake maana nae ananyonyesha.
Itungwe sheria watoto mwisho watano tu.
Hali ya chakula sio nzuri siku hizi, mabadiko ya tabianchi yameathiri kilimo, watoto hawashibi, wakishiba ni vyakula visivyo na virutubisho
Mtoto mpaka anavunja ungo hajawahi kula yai, soseji, nyama mpaka mbuzi afe,maziwa mpaka unywe sumu bahati mbaya,mtoto hajui hata kiatu kinavaliwaje.
Acheni kutesa watoto mtoto ana haki ya kunyonya miaka miwili
😂😂Waleteni tu, ajira za bodaboda zipo tele.Nimekasirika ghafla!.why lakini😆😆....sisi tutazaa hadi maziwa yakatike yenyewe...😒
NI wivu tu😉😂😂Waleteni tu, ajira za bodaboda zipo tele.
Kua na akili au kutokua na akili hiyo siyo hoja hapa.China inakabiliwa na tatizo la kutokuzaa sana, Serikali hadi ikaamua kufuta sheria ya ukomo wa mtoto 1 ila pamoja na hayo hakuna kilichotokea