Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Salaam,
Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz.
Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa.
Lakini Wakati Huo Huo Wanawake hao hao Wapo tayari kufanya Chochote kwa Mwanaume kwa ajili ya kupata hela.
Sijawahi kusikia feminists wakipaza sauti zao juu ya wanawake wanaojiuza (makahaba) maeneo mbalimbali ya majiji karibu kila mkoa.
Hutosikia wakipinga jambo lile jambo ambalo ndio khasa mwanamke amefanywa bidhaa inayoweza kununuliwa tena kwa makubaliano na kupunguziana bei. (Je feminists wanajua kweli wanachokitetea?)
Wanawake wanachezeshwa uchi kwenye kumbi za starehe ama nusu uchi kwenye music videos (sijui mnawaita vixens) lakini sijawahi kusikia hili likikemewa na feminists kwani linashusha heshima ya mwanamke sababu mwanamke anafanywa kama chombo cha starehe katika macho ya watu.
Iweje hata tangazo la matairi ya magari picha iwekwe mwanamke yupo robo tatu uchi. Lakini feminist hawana muda na haya mambo ambayo ndio khasa yanashusha heshima na utu wa mwanamke.
Hivi sasa kuna makampuni makubwa ya ku record video za wanawake wakifanya ngono kisha kurushwa hewani kwenye hizo videos wanawake wanafanyiwa mambo mengi ya ajabu ikiwemo kuingiliwa kinyume na maumbile kufanyiwa domination lakini hutosikia feminists wakisema kitu katika hili wao wapo busy na familia na ndoa.
Sasa hizi ukiwa na pesa nyingi unaweza kumchukua mwanamke hata hao wanaojiita super women na ukamfanyia chochote utakacho ilimradi uumpe hela nyingi ya vacation, au iphone au gari.
Mabinti nowdays uzinzi na umalaya(udangaji) sio jambo kubwa tena kama pesa ya kutosha itatolewa.