Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ule bata kwa raha gani kwamfano🤣🤣🤣🤣🤣kumbe nikila bata una nuna shindikana?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule bata kwa raha gani kwamfano🤣🤣🤣🤣🤣kumbe nikila bata una nuna shindikana?🤣
Shindikana , haunitakii mema🤣Ule bata kwa raha gani kwamfano🤣🤣🤣
Kuteseka kuko pale paleeee🤣🤣🤣Shindikana , haunitakii mema🤣
Hata ndoa ni njia ya kujiangamiza mkuu, usipokuwa makiniMkataba wa Ndoa huwa unalazimishwa?
Kwenye kila kitu utaambiwa Terms and conditions.
Sasa Wadada Wamechagua Njia ya Kuwaangamiza lakini ndio tayari wameshaona kuwa ni Uhuru.
Bibi zetu Walikuwa wanaolewa sana lakini Hakukuwa na Kuangamia bali wao walitulea hadi sasa sisi tuna heshimika sehemu zetu za kazi.Hata ndoa ni njia ya kujiangamiza mkuu, usipokuwa makini
Uko wapi aseee.....Bongo hakuna feminist , na wala haki za wanawake bado hazijapewa kipaumbele ,na sheria za kuwalinda wanawake bado hazina makali , tena mshukuru sana mwanamke anakupa pole ukitoka kazini na kukuuliza kama umekula na kuwapasia na kuwafulia nguo 🤔
Walivumilia...kwa sasa uvumilivu hakuna... wanawake washashtukaBibi zetu Walikuwa wanaolewa sana lakini Hakukuwa na Kuangamia bali wao walitulea hadi sasa sisi tuna heshimika sehemu zetu za kazi.
Lakini tunayoyashuhudia now days ni balaa.
Binti wa miaka 21 tundu zote hamna kitu ni hatari.
🤣🤣 nimelalaUko wapi aseee.....
Nakupigiaaaaa video call nkuambie kitu.....🤣🤣 nimelala
Hili ni kweli kabisa wapewe maua yao.Shindikana ni kweli kabisa wanawake wa kitanzania bado wana haiba ya unyenyekevu , kuna mataifa mwanaume ule usile utajua mwenyewe 🤣
Tatizo ni pesa au utandawaziWalivumilia nini??mateso??
hali ni Mbaya tatizo ni nini?
Hana sikio wala kidole inawezekana lakini nimepata mashaka makubwa How mtu atolewe sikio namna hiyo. Hakuwa na Ndugu zake walichukua action gani??Tatizo ni pesa au utandawazi
Ndiyo walivumilia mateso....Bibi yangu hana kidole na sikio mpaka Leo ila alivumilia
Tangu lini ndugu walikuwa wanaingilia ndoa mkuuHakuwa na Ndugu zake walichukua action gani??
Sio kweli. Mnaichora jamii ambayo Haikuwepo haikuwa namna hiyo ambayo inalazimishwa iwe.Tangu lini ndugu walikuwa wanaingilia ndoa mkuu
VizuriSio kweli
Natafuta AjiraSalaam,
Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz.
Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa.
Lakini Wakati Huo Huo Wanawake hao hao Wapo tayari kufanya Chochote kwa Mwanaume kwa ajili ya kupata hela.
Sijawahi kusikia feminists wakipaza sauti zao juu ya wanawake wanaojiuza (makahaba) maeneo mbalimbali ya majiji karibu kila mkoa.
Hutosikia wakipinga jambo lile jambo ambalo ndio khasa mwanamke amefanywa bidhaa inayoweza kununuliwa tena kwa makubaliano na kupunguziana bei. (Je feminists wanajua kweli wanachokitetea?)
Wanawake wanachezeshwa uchi kwenye kumbi za starehe ama nusu uchi kwenye music videos (sijui mnawaita vixens) lakini sijawahi kusikia hili likikemewa na feminists kwani linashusha heshima ya mwanamke sababu mwanamke anafanywa kama chombo cha starehe katika macho ya watu.
Iweje hata tangazo la matairi ya magari picha iwekwe mwanamke yupo robo tatu uchi. Lakini feminist hawana muda na haya mambo ambayo ndio khasa yanashusha heshima na utu wa mwanamke.
Hivi sasa kuna makampuni makubwa ya ku record video za wanawake wakifanya ngono kisha kurushwa hewani kwenye hizo videos wanawake wanafanyiwa mambo mengi ya ajabu ikiwemo kuingiliwa kinyume na maumbile kufanyiwa domination lakini hutosikia feminists wakisema kitu katika hili wao wapo busy na familia na ndoa.
Sasa hizi ukiwa na pesa nyingi unaweza kumchukua mwanamke hata hao wanaojiita super women na ukamfanyia chochote utakacho ilimradi uumpe hela nyingi ya vacation, au iphone au gari.
Mabinti nowdays uzinzi na umalaya(udangaji) sio jambo kubwa tena kama pesa ya kutosha itatolewa.