Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

Mkataba wa Ndoa huwa unalazimishwa?

Kwenye kila kitu utaambiwa Terms and conditions.

Sasa Wadada Wamechagua Njia ya Kuwaangamiza lakini ndio tayari wameshaona kuwa ni Uhuru.
Hata ndoa ni njia ya kujiangamiza mkuu, usipokuwa makini
 
Hata ndoa ni njia ya kujiangamiza mkuu, usipokuwa makini
Bibi zetu Walikuwa wanaolewa sana lakini Hakukuwa na Kuangamia bali wao walitulea hadi sasa sisi tuna heshimika sehemu zetu za kazi.

Lakini tunayoyashuhudia now days ni balaa.

Binti wa miaka 21 tundu zote hamna kitu ni hatari.
 
Uko wapi aseee.....
 
Bibi zetu Walikuwa wanaolewa sana lakini Hakukuwa na Kuangamia bali wao walitulea hadi sasa sisi tuna heshimika sehemu zetu za kazi.

Lakini tunayoyashuhudia now days ni balaa.

Binti wa miaka 21 tundu zote hamna kitu ni hatari.
Walivumilia...kwa sasa uvumilivu hakuna... wanawake washashtuka
Kuhusu tundu kutumika ni kote mkuu si wake za watu Wala mabinti...hali ni mbaya sana
 
Hivi kuanzia 2015-204 Dunia imeenda Kasi Sana usawa umeleta mistake Sana kwenye ndoa, ndoa haziheshimiki sahiz jamani kinachofanyika sahiz ni utapeli wa ndoa na shetani kutaka kuvuruga ulimwengu kwasababu ndoa zikiwa salama ndunia itakuwa salama ndo maana vitabu vya dini vinasema ndoa ni mbingu ndogo kwahiyo shetani yupo kuvuruga Mpango wa Mungu jama toka bustan ya Edeni kila mtu alipewa majukumu yake Leo mwanamke amekuwa mtumwa wa mapenzi kwa kutaka pesa so kwasababu ya usawa.

napenda mtume Paul anasema Kama umeoa mkaachana ni heri usioe au usiolewe Tena au Kama hujaoa au kuolewa bora usiingie kwenye hili fungu nilisoma Mara mbili mbili mtume Paul nikama aliona ndoa za miaka yetu itakuaje sahiz chanzo ni usawa soma 1wakoritho 7:1- na kuendelea utajifunza kitu je kuanzia mwaka 2025-2035 Dunia itakuwa wapi sahiz ndoa inaweza ikasababisha usiendelee kiuchumi, ukawa na ugonjwa wa mawazo, ukakimbia dini
 
Walivumilia...kwa sasa uvumilivu hakuna... wanawake washashtuka
Kuhusu tundu kutumika ni kote mkuu si wake za watu Wala mabinti...hali ni mbaya sana
Walivumilia nini??mateso??

hali ni Mbaya tatizo ni nini?
 
Walivumilia nini??mateso??

hali ni Mbaya tatizo ni nini?
Tatizo ni pesa au utandawazi
Ndiyo walivumilia mateso....Bibi yangu hana kidole na sikio mpaka Leo ila alivumilia
 
Tatizo ni pesa au utandawazi
Ndiyo walivumilia mateso....Bibi yangu hana kidole na sikio mpaka Leo ila alivumilia
Hana sikio wala kidole inawezekana lakini nimepata mashaka makubwa How mtu atolewe sikio namna hiyo. Hakuwa na Ndugu zake walichukua action gani??

Anyways inawezekana ila kuna mtindo wa feminists kuzitengeneza jamii ambazo hazikuwepo na kulazimisha ziwepo na Kuzitolea mfano ili mradi maisha ya ndoa ya Babu zetu yaonekane ni ya mateso katika nyanja zote.


Maisha ya Amani yalikuwepo katika familia nyingi na ni familia chache zilizokuwa na Manyanyaso na mateso ya moja kwa moja kwa mwanamke.

Katika jamii za Babu zetu Wanaume Walijipa Majukumu ya kuwalinda wanawake wao na jamii kwa ujumla Walikuwa wanatoa Sacrifices nyingi kwa wake zao na Jamii kwa ujumla Jambo ambalo sisi wanaume wa sasa hatuoni tena Haja ya ku offer hizo Sacrifices kwa hawa super women Viburi wa Haki sawa.


Nachokumbuka Kwa Bibi na Babu yangu ni Maelewano Babu alikuwa kiongozi mtafutaji na Mlinzi wetu Bibi alikuwa Mlezi na Muangalizi wa Makuzi yetu for that tumekuwa Strong Men.


Lakini kadri Msingi wa Familia unavyo vunjwa vunjwa kwa kisingizio cha Uhuru ndiyo mambo ya ajabu yanavyoibuka kila kukicha kwa Hii failed Society.
 
Tangu lini ndugu walikuwa wanaingilia ndoa mkuu
Sio kweli. Mnaichora jamii ambayo Haikuwepo haikuwa namna hiyo ambayo inalazimishwa iwe.

Wazazi hawakuingilia ndoa ya Binti au kijana wao na ndio inavyopaswa lakini Sio hata Mume akitaka kumuua mke!!

Nachotaka kukwambia na kuwaambia wengine baadhi Ndoa za zamani zilikuwa na mateso ndio walikuwepo wanaume Walevi waliokuwa Hawafanyi kazi ndio pia walikuwepo Wanawake viburi ndio walikuwepo wanawake Wapika Pombe ndio walikuwepo wanawake Wachepukaji Ndio walikuwepo wanawake Wavivu ndio.

Lakini mambo hayakuwa vile ambavyo Feminists wanayazungumza kwa Watu wengine kana kwamba Babu zetu wote walikuwa Walevi au wote walikuwa Watesi.

Bila kusahau Kuzungumzia Wanawake waliokuwa Viburi kipindi hiko.

Hawazungumzi namna babu zetu Walivyokuwa wanapambana katika Kunusuru familia zao kwenye vita ama magonjwa. In short wao hawaoni anything positive kutoka kwa Babu zetu.

Wakati hao ndio Wamelea Mama zao hadi wamekuwa Mama waliowalea wao.
 
Hiyo yote ni katika kutaka kujinasua toka kwenye mifumo inayowawekea vizuizi ili wawe free kujiachia wanavyotaka wao. Bare in mind mind mwanamke yuko radhi hata atembee uchi kabisa provided kwamba hataonekana kuvunja sheria na pia atasifiwa kwa umbile alilonao ila yeye hawezi ona kama anajidhalilisha Utu wake!!
 
Natafuta Ajira
 
Mwanamke anajua kuwa anafanyiwa udhalilishaji endapo ikiwa hajalipwa pesa ambayo anaona inastahili yeye kufanyiwa huo udhalilishaji. Kama ukimlipa pesa ambayo anaona ni bei sahihi kwake basi unaweza kumfanyia udhalilishaji wowote na yeye ndie atatafuta sababu ya kutetea huo udhalilishaji uliomfanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…