Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tanga na Pwani bro[emoji23]Hahah hahah wanawake wenyewe wawicha kinoma uwicha wa Gamboshi unashindanishwa na uwicha wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga na Pwani bro[emoji23]Hahah hahah wanawake wenyewe wawicha kinoma uwicha wa Gamboshi unashindanishwa na uwicha wa wapi?
Ha ha ha [emoji1544][emoji1550]Nilidhani mtu akistaafu na madini yake nayo yanastaafu, kumbe sio kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee wa kilinge na recommendation yake
Mimi najua pa kwenda kwa mahesabu ni Simiyu na Shinyanga tena!Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
NakaziaHii sredi itapendeza sana kama utaweka na picha ya wahusika hapo juu
Hapo ni timing tuu.. Ila ukiwahiwa umekwishaWao wenyewe wachawi kinoma, au ndo mambo ya atakaemuwahi mwenzie?[emoji23]
Haya mambo ya dini yako kimkakati sanaHili ni la kufikiria sana. Inabidi uletwe uzi. Refer Wazungu walioleta dini(maovu yao, and they don care anything)
Sema wana mikund***Wanawake wa Shinyanga na Singida wanakuwa wazuri kiumbo 😍
KAMA KONOKONO anayemtaimu mwenzake ndiye anakuwa kampa mimbaHapo ni timing tuu.. Ila ukiwahiwa umekwisha
Aaah,unaujua msemo wa maharage maramojaNebda Mbeya kwa wanyakyusa, hautajuta mkuu😜
Siyo sura pekee, wa Shinyanga hata adabu wanazo, sema hawa "born town" ni waswahili ambao hawakupata vionjo vya malezi ya kwao ya jadi.Wanawake wa Shinyanga na Singida wanakuwa wazuri kiumbo 😍
Pandeni KilimanjaroMimi najua pa kwenda kwa mahesabu ni Simiyu na Shinyanga tena!
Sasa tunaopenda wanawake wenye rangi ya mtume na meno ya dhahabu ghafi, ambako ndiko wanakopatikana, tufanyeje sasa!
Hahaha hayo ni maneno tu mkuu, kivitendo utawashangaa hao waliotunga huo msemo🤣🤣Aaah,unaujua msemo wa maharage maramoja
Nalo neno mkuu, lakini huko mostly mpaka uwe na exposure ya flat screen!Pandeni Kilimanjaro
Nenda Ziwani KaogeLeo Wahaya tumepumzishwa!
Sema watu wengine wakipigwa tukio bwana ndo kazi iliyobaki,
Ma ex wives wa Manara hawana hamu na maalbino
Kwani ana ma ex wangapi?Leo Wahaya tumepumzishwa!
Sema watu wengine wakipigwa tukio bwana ndo kazi iliyobaki,
Ma ex wives wa Manara hawana hamu na maalbino
Sijui!!Kwani ana ma ex wangapi?