Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Paka mapepe.. Hao inabidi ukichukua uwafanyie na featuring ya kilingeni
Nasikia ukitaka "kufuga" zaidi ya mmoja haiwezekani kufanya zoezi hilo kichwa kichwa, ni lazima uanzie kilingeni kwanza kupata baraka.

Inamaana jamaa kufanya hivyo ana uzoefu, sasa imekuwaje, au ndiyo dhana kuwa mikoba ya kilingeni ina expire date zake?
 
Kabisa mkuu,tabia ni MTU mwenyewe
Ila kuna kitu kimoja sisi wanaume hatutaki kukubali. Wanachofanya wanawake sasa hivi ni tit for tat. Zamani ilikuwa karibu kila mwanaume mwenye mke alikuwa amejipa certificate ya kuzini nje ya ndoa na mwanamke akatakiwa awe na adabu zote. Ilikuwa ni uhaini kwa mwanamke kuchepuka ila mwanaume ni ruksa. Nyakati zimebadilika. Utandawazi umefanya wanawake wengi wawe wajanja hivyo wanajibu mapigo.
 
Si ndo 50 50....yaan ndoa saivi ni full mashindano.Haeleweki mume ni yupi,mke ni yupi
 
Back
Top Bottom