Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Nilidhani mtu akistaafu na madini yake nayo yanastaafu, kumbe sio kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mzee wa kilinge na recommendation yake
Ha ha ha [emoji1544][emoji1550]
 


Hodi Shinyanga

Habari Zenu Tunazo Sasa
 
aisee!!!
ndugu yangu aliposa huko, ngoja nimshauri abadili gia angani.
 
Leo Wahaya tumepumzishwa!
Sema watu wengine wakipigwa tukio bwana ndo kazi iliyobaki,
Ma ex wives wa Manara hawana hamu na maalbino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…