Wanawake wa siku hizi mmekua wepesi kutongozeka hadi mnaboa

Wanawake wa siku hizi mmekua wepesi kutongozeka hadi mnaboa

Nlienda Angaza - magomeni na ndg yangu kupima siku ya ijumaa. Bahati mbaya tukakuta kupon zimeisha xo hatukuweza kuhudumiwa kwani ilikuwa ijumaa. Kuna bonti mmoja tulimkuta nae alichelewa pia.

Ndg yangu akakaa na yule manzi wakapiga story kidogo tukaongozana mpaka nyumbani kisha wakaingia chumbani.

Baada ya muda nlipomaliza kuandaa msosi naingia chumbani nakuta manzi amelala hana nguo na condom zipo chini.

Kuhoji zaid naambiwa yule manzi kaolewa ila mmewe kasafiri kwenda mbeya. Siku zilizofwatia akawa anakuja geto mwenyewe ila nlizinguana nae baada ya kumzingua kwanini kila akija haogi baada ya mechi.
Dah pole mkuu! mke wa mtu halafu baada ya mechi haogi! WTF!!!!
 
Mwanamke ni Ibilisi jaman,unaweza ukawa unakunja kisawa sawa na ukahudumia vzr saana,bt akatiwa na jamaa kiulaini!!!mi nadhan na kutiwa nako imekua fashion kwa Dada zetu!!
 
Siku hizi hatutongozi, tunaandaa mazingira halafu tunachombeza tu... Kiroho safi tunapewa... Ukitongoza tu imekula kwako...
 
Nlienda Angaza - magomeni na ndg yangu kupima siku ya ijumaa. Bahati mbaya tukakuta kupon zimeisha xo hatukuweza kuhudumiwa kwani ilikuwa ijumaa. Kuna binti mmoja tulimkuta nae alichelewa pia.

Ndg yangu akakaa na yule manzi wakapiga story kidogo tukaongozana mpaka nyumbani kisha wakaingia chumbani.

Baada ya muda nlipomaliza kuandaa msosi naingia chumbani nakuta manzi amelala hana nguo na condom zipo chini.

Kuhoji zaid naambiwa yule manzi kaolewa ila mmewe kasafiri kwenda mbeya. Siku zilizofwatia akawa anakuja geto mwenyewe ila nlizinguana nae baada ya kumzingua kwanini kila akija haogi baada ya mechi.
Huyo "ndugu yako" na huyo mwanamke wote ni warahisi na hawana tofauti.
 
yaan aliyewaloga kafa na hajaacha urthi mtaponaje wewe kutongoza hovyo huoni hujiheshimu?? kuingia kila mahali unaona ufahar eti unawalaumu wanawake poor mind..
 
Wanaokula vitamu hawaongei.

At times u gotta play the role of a fool to fool the fool who thinks is fooling you.

Ana gonga ma changu anajisifia. Tehe
 
boss bonge la point... vigezo vigezo vigezo vigezo... kama ni kweli jamaa atakuwa na vigezo vyao plus sura ya mama yake

Na sio mwanamke akiwa mwepesi kwako basi ni mwepesi kwa kila mwanaume
wewe unaweza kumpata leo leo huku mwenzio ana mwaka wa pili anabembeleza
 
Habarini za siku nyingi wana jamvi!

Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.

Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio wote.

Tazama scenario hizi...

Juzi nilikua mgahawa mmoja jijini nikamuona binti mkali pembeni yangu nikaomba nimjoin akakubali, kuna time akapigiwa cm na mama yake bht mbaya cm ikakatika, akaniomba atoke pembeni akanunue vocha ili ampigie, nikamwambia hakuna haja na palepale nikamtumia 10,000 tigopesa akajiunga ndio ukawa mwanzo wa kufahamiana, kesho yake nikapiga, huyu ni sales executive wa shirika flani la ndege


Siku nyingine nipo kwenye que bank, ilipofika zamu yangu nikamchekesha kdg yule teller, baada ya kunihudumia nikampa tip na bussines card, baada ya siku 2 nikampitia.


Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, tukafika kobil pale hotelini chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika kimara temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, nikachombeza hapa na pale, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi, huyu ni mhasibu Shirika flani la Umma


Hii ni mifano michache tu kati ya mingi...sasa dada zetu muwage wagumu hata kdg basi, manake mkikubali mapema sana mnatutia mashaka. Ingawa msitusumbue sana pia coz inaboa[emoji1]
Na wewe ni mlaini unatongoza na kupiga siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom