Mkuu hawa hawana formula ,ni kuishi nao kimkakati tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kila.mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
[emoji38][emoji38][emoji38] Binti wa watu una mpa tu vipesa vichache chache ulafu unategemea return kubwaaa ?
Tafuna binti huyoWengine mpaka kwenye ndoa hayo majukumu wanawaachia mabinti wa kazi!
Sawa. unatusaidiaje sasa??Ni kwel kabisa ,tuko zama za usawa... ila nyie bado mmebaki vile vile omba omba
Ahsanteee ndugu mwenyekiti.Kuna wadada wa kampuni za usafi, waite wakufanyie usafi kama we hauwezi kufanya.....
Mdada hata kutandika kitanda ni shida, wanachofocus ni pesa tu!!
Hilo ghetto lako linaingiza wanawake wangapi?
100% i gree with you ,inashangaza mnoo mnoo mwanamke anakuja kwako ,hata kujiongeza vitu km usafi, kupika hamna yeye akiliwa anatak umpe hela aondoke na bado shida zaks anataka umtatulie ...kwel kabisa ukiwa na aina hii ya mwanamke hafai kua mke atakutesa mbeleni
Hao wamebaki mikoani tu mjini hawapo tena[emoji28]
Unachangia hela ya sabuni kidogo.Usipotaka kumtakatisha unataka nani amtakatishe?Bhac mbususu mzitoe bure ..ili iwe win win [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu wangu ni balaa anafanya usafi mpaka anatamani kubomoa nyumba ajenge upya kumbuka ni civil engineer
Zama zimebadilika!
Ukirudi chumba kama kilikua kidogo u adhangaa ki.aekua kikubwa maana vitu vimepangwa mpaka nafasi ikapatikana....na pananukia hatari mpaka unasema.mke si huyu....
Sasa hawapo tena
Mi nikija kwako ni mwendo wa mahaba tu kama huwezi kupika nunua leta tule!!!
Habari za kufika niaze kufua,kuosha vyombo,sio kazi yangu,mara moja moja nitakusaidia kukupangia nyumba!!!
Usafi utafanya mwenyewe!!!
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na mbususuu safi unakula. Jion ataondoka zake. Yaani ukirud home unakuta hewa safi mpaka unafurahi.