Nielekeze Basi Nije nitoe mahari nibebe jumla[emoji23][emoji23][emoji23]mkitaka wa kuwafanyia kila kitu oeni acheni maneno mengi
Wajinga wakiwemo na........ Wako eeehWanaume wajinga sana ufanyiwe usafi ukiwa nani, wewe huna mikono au ni mlemavu, ka huwezi kufanya usafi unapoishi bado hujakuwa tayari kuwa baba wa familia, mke au mpenzi sio mfanyakazi wako loh
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Physical attraction muitoe wap ..wakati hzo k mnazitembeza kila mahali kwa tamaa za Iphone ,kutolewq out n.k mnachoka mapemaMimi wanaume wa kizazi hiki siwaelewi, wao mtu akimfulia nguo, kumpikia ndio wanaona ni upendo, hata kwenye ndoa nyingi zenye mgogoro ,mume katembea na housegirl, ni housegirl kufua,kupika, ndio sababu ya ndoa kuvunjika, huu ni ujinga hata maroboti yanaweza kufanya hivi..LOL...mnashangaza labda nyie ni version nyingine ya wanaume?!?,maanake wanaume wengine wanaangalia physical attraction and Chemistry nyie kupika, kufua daaah...
Kwa taarifa yako huwa hawafanyi usafi bali wanakukaguaNdugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na
Sijui umenielewa? Nakuachia kombePhysical attraction muitoe wap ..wakati hzo k mnazitembeza kila mahali kwa tamaa za Iphone ,kutolewq out n.k mnachoka mapema
Kama hujamtolea mahari nakwambia muache tu bro
Zama zimebadilikaSema akiwa anajiongeza kama hivo mausafi na kila kitu anashawishi kuingia upande wa pili ,wengine usingizia kuwa nioe uone ntakavokuwa nafanya kila kitu
Zama zimebadilika
Amen mtumishi.AMEN!!!😁😎
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni
Ulichozungumza ni general sana na upo sahihi ila kuna mabinti wachache ambao wapo vizuri ila hawawezi tuu kujiongeza aka ni wazito wa kufanya vitu na hawana uzoefu.
Women are desparate for marriage. Hilo liko wazi hamna kulipingaAkifanya hayo yote mtaanza kusema yuko desperate for marriage.
Kila mtu ashinde mechi zake ..
Wewe ukimpata wa hivyo piga pumb,,,u haffu banwa mkojo mkojolee usoniNdugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka nje atafagia uwanja atapanga vitu vizuri mwishoni anakupa na mbususuu safi unakula. Jion ataondoka zake. Yaani ukirud home unakuta hewa safi mpaka unafurahi.
Sasahivi Demu akija gheto ukimwacha utakuta nyumba kama ilivyo yani hana habari, kuna chakula ndani badala apike atakutumia text eti njoo na chips kuku nasikia njaaa. Hapo hapo bado atakuletea shida zake lukuki mara hiki sijui nini. Ukirudi atakwambia twende kidimbwi mara samakisamaki aiseee hatari sana. Ataposti mali zako aonekane anakaa sehemu nzuri mara snapchat huku whatsapp.
Ndugu zangu wanaume ukiona dem anashindwa jiongeza hakuna mke hapo we chapa potea ukijichanganya utakuja kulia. Short advise.
May be you are right.But not all my dearWomen are desparate for marriage. Hilo liko wazi hamna kulipinga
Mwanamke mwenye kujua umuhimu wa ndoa ndio tunaongelea hapa achana na hawa walioshindikana ndio watakwambia kwanza kwenye ndoa kunalipi la ziada na pata.May be you are right.But not all my dear
Kweli. Na iwe simulteaneous, apate mume mwenye kujua UMUHIMU wa ndoa .Siyo anaoa ili afuliwe tu nguo.Mwanamke mwenye kujua umuhimu wa ndoa ndio tunaongelea hapa achana na hawa walioshindikana ndio watakwambia kwanza kwenye ndoa kunalipi la ziada na pata.
Wewe ukimpata wa hivyo piga pumb,,,u haffu banwa mkojo mkojolee usoni
Msindikize. Na futa namba zake
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo usafi wa siku moja imekua ndo Kama unamfanyia kila siku ? Sasa Dem kwa mwezi tuna meet Mara moja na maranyingi sikuiyo hukuta nimeshafanya usafi adi uvunguni .. kitendo chakusema baby before sijarud home acha nikupikie chakula chausiku .. utapungukiwa Nini ? kumbukeni sex nitendo kubwa kuliko ivyo vitu vidogo vidogo ..Wanaume wajinga sana ufanyiwe usafi ukiwa nani, wewe huna mikono au ni mlemavu, ka huwezi kufanya usafi unapoishi bado hujakuwa tayari kuwa baba wa familia, mke au mpenzi sio mfanyakazi wako loh
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app