Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

Mke wa Mwaka Ni muislam,
Mke wa Haji Ni muislam.
 
hata kwenye sex wapo vizuri mno

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Mie msotuchoshe bwana mnaboa kama umeona wakufaa wewe basi mxiuu mnahangaika na hiyo dini yenu mnatia aibu kila kukicha mmechoka kwenye kubadili mnasifu wanawake zenu Nini shida ukiona hatutaki kubadili msitubadilishe .
 

Unawazungumzia Kina Shishi bebi na Wema Sepenga?
 
Mm nimempata mtoto wa kiislam, kifupi ni zaidi ya mke na amekubali kubadili dini hata ukweni wanasema tu, ndoa iwe na Amani, wabarikiwe sana mabinti wa Kiislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…