Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

ni kweli ila kuwa making, hii ni kwa wanawake wa kiislamu, yaani wanawake waumini wa kiislamu, sio wanawake wenye majina ya kiislamu, wanaoitwa waislamu kwa Sababu wamerithi uislamu jina kutoka kwa wazazi wao na kupewa majina ya kiislamu.
 
Aisee sio Waislamu wote, waswahili hujawahi kukutana nao.
 
Waoga tu wakuongezewa mke wa pili hadi wanne hakuna lolote ni heshima ya woga .mke wenza noma hakuna anayetaka ni ugumu wa maisha tu .

USSR
Maamuzi ni ya mwanaume, mimi nikiamua kuoa mke wapili naoa atake asitake

Na ukikuta mwanamke wa kiislam anayeishi kiislamu hawezi kukataa mumewe kuoa mke wa pili
 
Una maana ipi?
Dini inamchango wake kwahiyo usi ignore mimi niliwahi kuelezewa na rafiki yangu mmoja wa kike wa kislamu sisi wakristo hatuna system nzuri ya kufundisha mafundisho ya ndoa kwa kina tofauti na wenzetu wa kislamu ukimkuta binti wa kikristo ni yule ambaye kapata malezi mazuri ya Wazazi pamoja mila ya kikabila
 
Ukweli mtupu....
 
Hata kwenye mapishi wengi wao wapo vizuri sana.
 
kuna kipindi nilijafanya kutoa dawa sana dini na kuhusu islamu mpaka wake za watu nikala ?.kumbuka dini sio tabia bali tabia ya mtu
 
Nimejibu kutokana na ninayoyaona kwenye jamii inayonizunguka. Hayo uliyoandika ni ya kwako kutokana na mtizamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…