Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

Afu vifanyio vyenyewe vilivyo adimu sasa. Hivi hawaoni wenzao wanavyosababisha bei za matango kupanda?

Unaona sasa.... japo inaonekana kuwa hadimu huo uhadimu unapingana kabisa na theories za uchumi kwa bidhaa hadimu

Na hapo ndio unajua uzinzi ni laana

Vinginevyo wanaume ndio mngekua mnalipwa😆😆
 
Unaona sasa.... japo inaonekana kuwa hadimu huo uhadimu unapingana kabisa na theories za uchumi kwa bidhaa hadimu

Na hapo ndio unajua uzinzi ni laana

Vinginevyo wanaume ndio mngekua mnalipwa😆😆
Huko tuendako lazima mtulipe. Si umeona tushaanza kuwapa rushwa ya urais?

Mdogomdogo wenyewe mtalipia huduma. Au hujaona tulivyokuwa wachache? Utafiti wangu wa kipagazi umethibitisha pasipo na shaka kuwa ratio ya vifanyio vya kiume na viburudisho vya kike ni 1 kwa 5.

Imagine wachuchu watano mnampigania legend mmoja... afu mje msikie kuna mmoja wenu kacharanga kifanyio chenu... itatokea vita ya nane ya dunia wallah
 
Ila majirani na Kakamega yenu mnatia aibu sana...
 
Dawa ni kuacha tuu kabla ya kuumia
Hiyo ndio dawa muhimu ila huwezi kujua jamaa alikuwa kwenye hali gani maana wanasema njaa ikizidi yule simba anaweza kula hata nyasi !
 
Hiyo ndio dawa muhimu ila huwezi kujua jamaa alikuwa kwenye hali gani maana wanasema njaa ikizidi yule simba anaweza kula hata nyasi !

Imemgharimu sana
 
Wanawake washirikiane??
 
Kimeumanaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli hiyo ni gharama isiyolipika hao kina dada waliamua kukata "mzizi wa fitna"...uzinzi kwisha habari yake🤣

Hafanyi tena. Kifanyio hamnaaà
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…