Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Endelea kumkazia anko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kumkazia anko
Afu vifanyio vyenyewe vilivyo adimu sasa. Hivi hawaoni wenzao wanavyosababisha bei za matango kupanda?Kwa mambo haya ya kukatana nyeti acha leo tudemkie sababa tuu😅😅😅
Michepuko sio
Mpaka kieleweke leoEndelea kumkazia anko
Afu vifanyio vyenyewe vilivyo adimu sasa. Hivi hawaoni wenzao wanavyosababisha bei za matango kupanda?
Weee usiniambieMpaka kieleweke leo
Huko tuendako lazima mtulipe. Si umeona tushaanza kuwapa rushwa ya urais?Unaona sasa.... japo inaonekana kuwa hadimu huo uhadimu unapingana kabisa na theories za uchumi kwa bidhaa hadimu
Na hapo ndio unajua uzinzi ni laana
Vinginevyo wanaume ndio mngekua mnalipwa😆😆
Hiyo ndio dawa muhimu ila huwezi kujua jamaa alikuwa kwenye hali gani maana wanasema njaa ikizidi yule simba anaweza kula hata nyasi !Dawa ni kuacha tuu kabla ya kuumia
Wanawake washirikiane??Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa[emoji116]
Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake, unapigwa na mchepuko, marafiki wa mchepuko nao wanakupiga, unakatwa uume, unatibiwa kisha unawekwa ndani kwa kosa la kudaiwa malipo ya uzinzi......
Uukitoka huko ndani/ police unakuta mchepuko na team yake wamewalipa wanaume wenzio wakupige tena[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Muwe na sabasaba njema yenye furaha, utulivu na amani
Kwa kweli hiyo ni gharama isiyolipika hao kina dada waliamua kukata "mzizi wa fitna"...uzinzi kwisha habari yake🤣Imemgharimu sana
😄😄😄77 hoyeeee