Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Mzee baba naunga mkono hoja yako ni kweli Wanawake wa Siku hizi wamekuwa wanapenda pesa kupita kiasi na ndiomaana wengine wanaenda uko uwarabuni wanakuwa mavi ya warabu Eti Lisa pesa na wengine wameingia kwenye biashara ya kudanga
 
[emoji3][emoji3] apo kwenye uelekeo Kuna aina 2 bhana. Kuna yule unamuona kabisa yupo vyema kiuchumi na uwezo wa kulea familia anao lakini Hana Muda wa kukwambia nataka kwenda kwenu, apa Sasa Binti anatakiwa kukimbia vizuri tuu, maana uwenda yupo mwengine aayetarajiwa kuolewa. Na siku ya kugundua ni ndoa ya huyo mwenzie. Haiwezekani 6 yrs unagegedwa tu na mwanaume uwezo anao wa kukuoa na kulea familia.

Na Kuna aina ya 2, ndo hii ya mtoa mada, kwamba bado hajajitengemaa kimaisha, ndo anatafuta, apo ni haki ya mwanamke kukusubiria wewe maana anakupenda kiukweli, kwa iyo usije ukamcheka Kwa kukaa 4 yrs akikusubiri ww upande kiuchumi na huo ndiyo upendo wa kweli. Si kwasbb Hana ndiyo umkimbie.
 
Nimependa maneno yako umeongea kwa akili kubwa upo smart kichwani
 
Una point mzuri bidada sema mwamba anashindwa kukuelewa
 
Umenifurahisha sana kwenye Neno External source...nimecheka mnooo!! Wazee wameamua ku outsource baada ya mambo kuwa mukide.
 
Kabisa dada, si vizuri kumuombea mtu mabaya. Na iyo yote inatokana na bado wanawapenda ndiyo maana wanatazamia kupata majanga iwe ndiyo furaha yao Kila siku..... Hakuna sehemu iliyosema kuwa aliyeolewa 20s ndiyo mtakatifu Sana au ndo amejitunza au aliyeolewa 30s basi ni kurubembe.

Kuna watu Wana 3os lakini hawajawahi kuguswa ata mara 1 Ila tu bado hawajapata bahati ya kukutana na wale waliopangiwa kuwa Mume wake.
 
Mhhh mwanamke Ameongea...sijui kama kuna sehemu umeacha kitu. Wacha tujitafakari na heading na contents zetu.
 
Ahsante kwa Point muhimu sana. [emoji441][emoji350][emoji351]
 
Sio vibaya kuwasaidia wawili watatu mkuu
 
Safi sana. Mhubiri 9: 11. Nimeipenda sana.
 
Nimesoma Comments zote mpaka hapa.

Wengi wao wangekuwa na Akili hiyo labda wengi wangekua wameshaolewa.

Aina ya kwanza: Wakimbie waende wapi, wengi hawana pa kwenda. Hivyo, nyuma nzuri na kilakitu aache amuachie nani? Nani anataka kurudi kwao kuanza upya na kukutana na Manyanyaso ya kuulizwa kilasiku unaolewa lini au kutangaziwa kuwa ameachika.

Bora tu abaki kwa maumivu huku akijifikiria nini cha kufanya huku mwishowe anajikuta ameamua kubeba mimba na kuzaa na kuingia kwenye lile kundi la kuzalishwa na kuishi pamoja hata kufikia watoro 4 bila ndoa na bado mnaishi pamoja.

Aina ya Pili: Wanaume wengi wana huruma na huwakumbuka waliowavumilia na kuwasaidia kipindi wako katika Msoto wa kuinuka kiuchumi hivyo wengi huolewa au kutunukiwa Zawadi za Mtoto/ Watoto shida inaanza pale baada ya kuanza kuona Mafanikio basi na wewe Mwanamke kwa kigezo cha kuwa ulivumilia miaka yote hiyo ndiyo ufungulie Bomba la Mahitaji yaani inakua kama ulikua unasubiria sasa nimepata Ubunge ndiyo unataka Ndoa, Nyuma, Watoto Mapacha na Mabiashara na Makorokoro chungu mzima ili uwakomeshe wenzako.

Huo ni utoto na ujinga na ndiyo maana ukianza kuleta Depo hizo; wanaume wengi wanapiga chini na kuchukua chombo kipya.

Kila kitu hutokea kwasababu.

Maisha ni kama Squid Game. Don't trust anyone just listen to your inner instincts.

Mwanamke ni Kiumbe Dhaifu play part yako utavuna matunda, Jitutumue uvune maumivu.
 
Hii habari ya kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume si kweli.

Mwaka 2020, takwimu zinaonesha kwamba Tanzania kwa kila wanawake 99.9 kulikuwa na wanaume 100. Statistically the same.

 
Umeandika kwa kirefu sana. Pole bibie.
Njoo pm tuweke mambo sawa
 
Naendelea...

Sisi Wanaume wengi wetu tuna mahitaji madogo na machache yanayofanana linapokuja suala la Ndoa. Lakini sio kwa nyinyi wenzetu Wanawake kwakua mna mahitaji mengi tena makubwa na yanayokinzana na wengine hivyo kupeleka mchafuko na vurugu sana.

Mimi binafsi nina 36 now na sijaoa mpaka sasa. Ila ninayempenda na kutamani kumuoa na kuishi nae ana 42 na ameshaolewa na mtu mkubwa tu Serikalini kwasababu ya ushawishi wa Wazazi na Nguvu ya Fedha.

Ni miaka 14 sasa tupo kwenye Mahusiano ya Siri tena yenye Mapenzi Mazito na Makubwa Mno. Tulikutana mimi nikiwa University nna 22 na yeye akiwa na 27/28.

Tulipenda sana na hasa ukizingatia yeye alikua jamaa ya watu wa nje hawa Waarabu hawa lakini ni Full Wife Material kabisa yaani Msafi sana Aaf, yule ambaye anakua kama BiMkubwa wako full kukulea, shughuli zote za nyumbani anajituma sana alafu Mkimya sana yaani Dini kwa sana na anajua kujistiri mno na chumbani ni Motoo kama ana jini Mahaba.

Taikon nlikua sina maisha at that time... Chuo kigumu na ukizingatia home kwetu kawaida sana. Akanitangazia kuwa anatakiwa aolewe na kwao yeye ndiye 1st born kwahiyo hawezi kurukwa lazima aanze na Mzee wake keshapokea barua 3 za wenye Nia. Daah!! Ilikua habari mbaya lakini sikua na budi nikakubali tukakubaliana 'Mambo flani flani' hata uchaguzi wa nani kati ya hao wa3 nikamwambia yupi atatufaa katika misheni zetu.

Mungu Mkubwa Wajameni: 2cut the story short ni kwamba sasa hivi ana watoto 4, wawili wangu na wawili wa Jamaa na maisha na Mapenzi yanaendelea vizuri sana, kila siku ni bora kuliko jana.

Hatumuombei Jamaa mabaya ila akidanja mimi ndiyo ntachukua Mwali wangu mapema sana maana sasahivi niko Njema Alhamdulillah.

Kwenye haya Maisha kilamtu ana Kipaumbele Chake.

Tuheshimu vipaumbele vya wengine.


Nowadays she's looking like this. How would I resist the feeling of waiting.[emoji8][emoji3531][emoji257]View attachment 2204873
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…