Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Hivi ukichungulia unaiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kwa nini unenichekesha hivi.

Hivi ni kweli upo so desperate kama ninavyokusoma, ama unatuchangamsha tu jamvini?
Mkuu wewe sitanii mimi ila sipo desperate hivo bana.

Mbususu inaonekana ndiyo, sometimes huwa nasahau kama ipo inabidi niwe naichungulia chungulia kama ipo kweli 😄 🤣
 
Ebu tuwekee picha za dada zako na Mama yako tuwaone kabla ya kuwajadili wengine.
 
Kuna mmoja anasema eti ndoa ni utumwa. Yuko 32 ana Ph
, wanazengo hawakumng'unya ngeli wakamwambia jua lishachowea
 
Tatzo lao kubwa wanatka wanaumme waliokwisha fanikiwa. Ndo umemaliza masomo bado mambo hayajakaa sawa hawataki kuskia hicho kitu. Japo wapo wachache wanaowaelewa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hapo umegonga penyewe mkuu. Na waliofanijiwa tayari wana watu wao. Na ndio maana wanaishia kupelekewa moto na kubadilisha wanaume kila leo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Umasikini ndio chanzo, wao upambana kutafuta mume mwenye gari na nyumba na wengi wenye navyo huwa tayari washaoa
 
Nafikiri wachangiaji wengi ni wavulana.
Hii inamaanisha mwanamke akitongozwa tu atoe mzigo. Hii sio sahihi, mwanamke ni lazima abane mapaje ili aheshimike sio kumpa kila mtu.
Mimi nafikiri hapa mkuu. Lengo sio waweke mapaja wazi kwa kila mtu, kujubali au kujataa ni uamuzi wao. Ila kumkataa mtu kwa kumshushia matusi.mbele A watu au kwa kashfa nyingi mfano "wewe unanipa nini" au una hela za kunitunza" na n.k. hayo sio maneno ya busara. Kataa tu vizuri kwa point za msingi mtu ataelewa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…