financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia😂😂Nkamu
Umevurugwa[emoji1787][emoji1787]
Huna nini na nini
Na nini nusu[emoji1787][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia😂😂Nkamu
Umevurugwa[emoji1787][emoji1787]
Huna nini na nini
Na nini nusu[emoji1787][emoji848]
Hivi ukichungulia unaiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kwa nini unenichekesha hivi.Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia[emoji23][emoji23]
Bado natafuta25 ni binti umekomaa kiakili unafaa kuwekwa ndani kabisa
SuperbPsychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Mkuu wewe sitanii mimi ila sipo desperate hivo bana.Hivi ukichungulia unaiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kwa nini unenichekesha hivi.
Hivi ni kweli upo so desperate kama ninavyokusoma, ama unatuchangamsha tu jamvini?
Mkuu wamelala hebu tuongee mambo ya kiutu uzima peke yetu[emoji28][emoji28]Mkuu wewe sitanii mimi ila sipo desperate hivo bana.
Mbususu inaonekana ndiyo, sometimes huwa nasahau kama ipo inabidi niwe naichungulia chungulia kama ipo kweli [emoji1] [emoji1787]
Wewe unanifaa sana tu[emoji16][emoji16]Sina tako, sina sura , hekima nusu[emoji23]
Ebu tuwekee picha za dada zako na Mama yako tuwaone kabla ya kuwajadili wengine.Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Umekosa vyoote mpaka hekima ipo nusu kilo. Mmmhh 🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🤓🤓🤓🤓Sina tako, sina sura , hekima nusu😂
Ko mbususu nayo ya mashaka..? Au nayo ipo nusu.?Hadi mbususu yenyewe imebidi niichungulie kama ipo, isije ikawa imetoweka pia😂😂
Kuna mmoja anasema eti ndoa ni utumwa. Yuko 32 ana PhKipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Hahaha Ilo ndo tatizo lenu. Mnafikiria uko kwanza.Miaka 40[emoji848]
Hiyo mbususu
Imegonga mileage za kutosha
Mkuu wewe, unataka kujivika bomu 😂Wewe unanifaa sana tu[emoji16][emoji16]
Unfortunately nilikua among watu waliolala😂😂 umeamkaje mkuu wangu ?Mkuu wamelala hebu tuongee mambo ya kiutu uzima peke yetu[emoji28][emoji28]
Sasa ulitaka tufikirie wapi kwanza....mbona nyie mnafikira kwenye mifuko yetu kwanzaHahaha Ilo ndo tatizo lenu. Mnafikiria uko kwanza.
Hapo umegonga penyewe mkuu. Na waliofanijiwa tayari wana watu wao. Na ndio maana wanaishia kupelekewa moto na kubadilisha wanaume kila leo.Tatzo lao kubwa wanatka wanaumme waliokwisha fanikiwa. Ndo umemaliza masomo bado mambo hayajakaa sawa hawataki kuskia hicho kitu. Japo wapo wachache wanaowaelewa.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Gombe la mji halina haja ya mchungaMbona mm Nina 32 na bado sijawaza kuolewa na Wala sitii huruma
Ngoja Nile [emoji897]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mimi nafikiri hapa mkuu. Lengo sio waweke mapaja wazi kwa kila mtu, kujubali au kujataa ni uamuzi wao. Ila kumkataa mtu kwa kumshushia matusi.mbele A watu au kwa kashfa nyingi mfano "wewe unanipa nini" au una hela za kunitunza" na n.k. hayo sio maneno ya busara. Kataa tu vizuri kwa point za msingi mtu ataelewa.Nafikiri wachangiaji wengi ni wavulana.
Hii inamaanisha mwanamke akitongozwa tu atoe mzigo. Hii sio sahihi, mwanamke ni lazima abane mapaje ili aheshimike sio kumpa kila mtu.