Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Aisee....kumbe nyie wenyewe mnapenda kuwa loose ball🤣🤣🤣🤣
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Ni ukweli kabisaa halafu tunanenepeanan kama mabosi wa tanroad sisi wenyewe tunajifungiaga bahati .
Tunajibweteka hadi keroo .
Ila ukiona wazungu always they are looking good hawana manyama nyama.
Hata awe 40 hujui hadi aseme
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sure kabsa
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Unakuwa mhuni tu.
Hata wenzako wataogopa usiwasogelee waume zao

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio yule "kufa kufaana.."??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…