Aisee....kumbe nyie wenyewe mnapenda kuwa loose ball🤣🤣🤣🤣Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.