Haya sasa ndio maneno...kitu mnato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa ndio maneno...kitu mnato
Hayo mambo sio kipaumbele kwangu,,,,wengine tunahitaji kampani tuHaya sasa ndio maneno...kitu mnato
Sasa company tena bila kupapasana jmaniHayo mambo sio kipaumbele kwangu,,,,wengine tunahitaji kampani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah mie wala sina familia....nipo nipo tuu sina mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.....sii unajua tena vijana na bodaboda zetu mnatudharau sana nyie wananwake lakini sie ndio wagegedaji wazuri wa wake za watumzabzab ukute ni mtu mzima kabisa na family yake,lakini sasa unavyojichetua[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu sasa uongo wa wazi kabisaaa....
😂😂😂Umesema kweli kabisaa,, wanaokunyanyapaa wa kwanza kabisa ni wanawake wenzio, kuwa mwanamke bara hili yataka moyoUnakuwa mhuni tu.
Hata wenzako wataogopa usiwasogelee waume zao
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu sasa uongo wa wazi kabisaaa....
Ndio...kwa uzuri huo mwanaume asikupapase...hizi fix za wazi kabisa
Ndo maana sipendi bodaboda Mir[emoji23]Ah mie wala sina familia....nipo nipo tuu sina mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.....sii unajua tena vijana na bodaboda zetu mnatudharau sana nyie wananwake lakini sie ndio wagegedaji wazuri wa wake za watu
Mie nipo huku mbande ya kaliuaNdo maana sipendi bodaboda Mir[emoji23]
Unapaki wapi nianze Doria kuanzia Leo[emoji2440]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeh unaanzaje mpapasa ostadhat[emoji23]Ndio...kwa uzuri huo mwanaume asikupapase...hizi fix za wazi kabisa
Kwani ostadhat hana nyegeWeeeeh unaanzaje mpapasa ostadhat[emoji23]
Utapigwa na shot moja matata looh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivi ujue ni mawardat[emoji1541]Mie nipo huku mbande ya kaliua
Hatuna[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]Kwani ostadhat hana nyege
Mengi hayasemekiKipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Mbona una miguu ya kiume🤣🤣🤣🤣
Mweeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichokaMbona una miguu ya kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Possible. Maana kama ana uwezo wa kujihudumia, hakutakuwa na shida, anapata maziwa hata kama hafugi ng'ombe. Wakubwa watanielewaYote yanasababishwa na umasikini.