Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

mzabzab ukute ni mtu mzima kabisa na family yake,lakini sasa unavyojichetua[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah mie wala sina familia....nipo nipo tuu sina mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.....sii unajua tena vijana na bodaboda zetu mnatudharau sana nyie wananwake lakini sie ndio wagegedaji wazuri wa wake za watu
 
Ndo maana sipendi bodaboda Mir[emoji23]

Unapaki wapi nianze Doria kuanzia Leo[emoji2440]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi hayasemeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…