joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Uwe na uchumi, husiwe nao ila kama ulishawahi kulamba asali lazima utalitafuta rungu la kipepe,hata uwe busy vipi tena hawa wenye pesa ndio wanasambaza pesa,ila mwisho wa siku wanaishia kudate na Mamarioo.Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Tunadanganyana ndoa ni zaidi ya ngono, hasikudanganye mtu wawili ni wawili, kwenye maisha sometimes unakuwa na stress,unatafuta mtu wa kukufariji, kukufuta machozi kukutia moyo na nguvu kipindi unapopitia magumu.Hapo sasa ndipo mwenzi/mwandani/mke/mme wako anapoingia, ndoa ni muhimu sana ila tunajidanganya na usasa huu. Hata hao wanao zipinga wakikaa wenyewe wanajuta, upweke mbaya,upweke ugonjwa na upweke unaua.