Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Uwe na uchumi, husiwe nao ila kama ulishawahi kulamba asali lazima utalitafuta rungu la kipepe,hata uwe busy vipi tena hawa wenye pesa ndio wanasambaza pesa,ila mwisho wa siku wanaishia kudate na Mamarioo.

Tunadanganyana ndoa ni zaidi ya ngono, hasikudanganye mtu wawili ni wawili, kwenye maisha sometimes unakuwa na stress,unatafuta mtu wa kukufariji, kukufuta machozi kukutia moyo na nguvu kipindi unapopitia magumu.Hapo sasa ndipo mwenzi/mwandani/mke/mme wako anapoingia, ndoa ni muhimu sana ila tunajidanganya na usasa huu. Hata hao wanao zipinga wakikaa wenyewe wanajuta, upweke mbaya,upweke ugonjwa na upweke unaua.
 
Uwe na uchumi, husiwe nao ila kama ulishawahi kulamba asali lazima utalitafuta rungu la kipepe,hata uwe busy vipi tena hawa wenye ndio wanasambaza pesa,ila mwisho wa siku wanaishia kudate na Mamarioo.

Tunadanganyana ndoa ni zaidi ya ngono, hasikudanganye mtu wawili ni wawili, kwenye maisha sometimes unakuwa na stress,unatafuta mtu wa kukufariji, kukufuta machozi kukutia moyo na nguvu kipindi unapopitia magumu.Hapo sasa ndipo mwenzi/mwandani/mke/mme wako anapoingia, ndoa ni muhimu sana ila tunajidanganya na usasa huu. Hata hao wanao zipinga wakikaa wenyewe wanajuta, upweke mbaya,upweke ugonjwa na upweke unaua.
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Kwa wanawake mara nyingi mnakutana na watu sahihi ila lile jicho la kumuona huyu ni mume sahihi hamna. Mara nyingi mnadondokea kwa maf*ck boy au kwenye mtego wa fedha.

Ukiwa na binti yako au dada yako omba sana Mungu akutane na mtu sahihi. Mimi kuna mama yangu mdogo 50+ anajuta,kuna daktari mmoja alikuwa anataka kumuoa alinionyeshea, mzee mwenyewe anakaribia kustaafu alimkataa akaenda kwa baba yangu mdogo ambaye ana msumbua na kumvuruga kila siku, vikao havihishi kama vya bunge.

Huyo baba yangu mdogo mwenyewe anayeishi nae, alimpenda sababu msafi, anajua kuvaa na ukimwona, katia pank, muda wote kachomekea mtaji maneno. Alimzalisha akamwacha, akaenda kuoa kwengine huko napo akamwacha huyo mke, akarudi kwa mamdogo kaomba msamaha, mamdogo kamsamehe,mjomba alimaindi ila ndio hivyo atafanyaje na dada yake kishapenda.
 
Rafiki yangu alikwenda holiday Jamaica, alimpenda beach boy. Kabla likizo haijaisha aligundua beach boy alikua na wanawake wanne na anakinga pesa kote.
Hiyo ndio tabu,kikubwa ni kumpata mtu unayempenda na mwenye changamoto ambazo unaweza kuzibeba,na mleta uzi nadhan anaongelea wale walioringa kutokana na wishes kubwa,ila ambao hawakupata hiyo bahati basi tuendelee kuwaombea
 
Huu ni ukweli mtupu. Japo ni mchungu kwao. Kuna pisi kale niliifukuzia sana pindi tunasoma chuo ikanikatalia kabisa. Nilitumia njia zote za ushawishi ikagonga mwamba. Nikaachana naye nikaendlea na mambo mengine. Na hata
Mkuu..fanya kitu kimoja naomba unpm namba zake...ili kukuondolea stress zake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanawake wengi wanapenda vitu alivyonavyo mwanaume, pesa, magari, nyumba na kadhalika na huwa hawapendi wanaume wenyewe, hii inasababisha kuwa na uchaguzi mkubwa kwenye mapenzi na ndio maana huwa wanadanganywa sana, na matokeo yake wanapotezwa kabisa katika maisha yao, akijashtuka umri umekwenda na vitu alivyotamani kavikosa.
 
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.

Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.

Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.

Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.

Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.

Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Umepiga mle mle, ila jiandae kwa maneno makal ngoja waje
 
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
JF ndogo ndo wapi mkuu tukaone majukwaa yao
 
Kwa wanawake mara nyingi mnakutana na watu sahihi ila lile jicho la kumuona huyu ni mume sahihi hamna. Mara nyingi mnadondokea kwa maf*ck boy au kwenye mtego wa fedha.

Ukiwa na binti yako au dada yako omba sana Mungu akutane na mtu sahihi. Mimi kuna mama yangu mdogo 50+ anajuta,kuna daktari mmoja alikuwa anataka kumuoa alinionyeshea, mzee mwenyewe anakaribia kustaafu.

Huyo baba yangu mdogo mwenyewe anayeishi nae, alimpenda sababu msafi, anajua kuvaa na ukimwona, katia pank, muda wote kachomekea mtaji maneno. Alimzalisha akamwacha, akaenda kuoa kwengine huko napo akamwacha huyo mke, akarudi kwa mamdogo kaomba msamaha, mamdogo kamsamehe,mjomba alimaindi ila ndio hivyo atafanyaje na dada yake kishapenda.
Tatzo lao kubwa wanatka wanaumme waliokwisha fanikiwa. Ndo umemaliza masomo bado mambo hayajakaa sawa hawataki kuskia hicho kitu. Japo wapo wachache wanaowaelewa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom