Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.

Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.

Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.

Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.

Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.

Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
Lenie pita huku 😄😄😄
 
in average wasichana huwa wanaolewa wakiwa na miaka 19, na vijana huoa wakiwa na miaka 25, wangekuwa wanaoana age moja kusingekuwepo na uhitaji kwa wanawake kuolewa baada ya miaka 30,.

Nimeona pia 65% ya wasichana huwa wanakuwa wameolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 28, hii inamaanisha japokua 35% ni kubwa lakini hili swala mnalikuza sana,lol
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Ila wao watakesha kuomba wakupate 👆 nimeipenda ina ukweli mwingi
 
in average wasichana huwa wanaolewa wakiwa na miaka 19, na vijana huoa wakiwa na miaka 25, wangekuwa wanaoana age moja kusingekuwepo na uhitaji kwa wanawake kuolewa baada ya miaka 30,.

Nimeona pia 65% ya wasichana huwa wanakuwa wameolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 28, hii inamaanisha japokua 35% ni kubwa lakini hili swala mnalikuza sana,lol
Reference please
 
Unazungumzia enzi zilee, siyo sasa!
Sasa hali ya wanawake ni mbaya sana kwa kweli
 
Psychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Maendeleo ya mtu yanakuwa defined na jamii husika

Mf.ukiwa kwenye jamii ya wamasai utajiri au mafanikio ni kuwa na ng’ombe wengi

So umasaini utajiona umetimiza life goals ukiwa umepata ng’ombe wengi

Ukiwa mjini mafanikio ni kuwa na nyumba,gari ,biashara kazi

Kwahyo ili uweze kuishi comfortable na kwa amani kwenye jamii fulani lazima uwe na mafanikio yanayoendana na jamii husika

Tunachokosea ni kutaka kuwa na maendeleo,mafanikio ambayo hayahusiani na jamii husika

Na kwa jamii ya kiafrika-Tanzania kuolewa au kuoa ni moja ya mafanikio muhimu kwahyo usipooa au kuuolewa licha ya kuwa na mali au vitu vingine bado jamii itakuona umepungukiwa kitu kikubwa

Kila mtu anataka kuheshimika na huwezi kuheshimiwa kama huna mafanikio kamq jamii inavyoona

Wanawake msitake kuishi kama mpo ulaya kwa kutojali jamii husika inahitaji nn

Kiafrika-Tanzania kuolewa ni moja ya mafanikio
 
Back
Top Bottom