financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ahsante, japo nyuzi kutwa kutuandamaThamani ya mtu sio miaka usijikatie tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante, japo nyuzi kutwa kutuandamaThamani ya mtu sio miaka usijikatie tamaa
Mwaka huu hauputi sijagonga 30 mkuu, nishakua kibibi siaminii😂Tayari
Umeshagonga 30[emoji848]
Lenie pita huku 😄😄😄Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
😄😄😄😄Mwaka huu hauputi sijagonga 30 mkuu, nishakua kibibi siaminii😂
Kwanini mkuuWewe ndio yule "kufa kufaana.."??
Ila wao watakesha kuomba wakupate 👆 nimeipenda ina ukweli mwingiPsychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Na wengi katika age hiyo ni dropouts wa basic education, na wanakkwenda kuwa dropouts wa ndoa piain average wasichana huwa wanaolewa wakiwa na miaka 19, na vijana huoa wakiwa na miaka 25, wangekuwa wanaoana age moja kusingekuwepo na uhitaji kwa wanawake kuolewa baada ya miaka 30,.
Reference pleasein average wasichana huwa wanaolewa wakiwa na miaka 19, na vijana huoa wakiwa na miaka 25, wangekuwa wanaoana age moja kusingekuwepo na uhitaji kwa wanawake kuolewa baada ya miaka 30,.
Nimeona pia 65% ya wasichana huwa wanakuwa wameolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 28, hii inamaanisha japokua 35% ni kubwa lakini hili swala mnalikuza sana,lol
na tutaendelea kuzishusha.😏Ahsante, japo nyuzi kutwa kutuandama
in average wasichana huwa wanaolewa wakiwa na miaka 19, na vijana huoa wakiwa na miaka 25, wangekuwa wanaoana age moja kusingekuwepo na uhitaji kwa wanawake kuolewa baada ya miaka 30,.
Nimeona pia 65% ya wasichana huwa wanakuwa wameolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 28, hii inamaanisha japokua 35% ni kubwa lakini hili swala mnalikuza sana,lol
Aah mimi sahivi nishawazoea siogopi sanaana tutaendelea kuzishusha.😏
Maendeleo ya mtu yanakuwa defined na jamii husikaPsychological sett up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Dah 😁😁Me ndio kwanza nimefikisha miaka 19 jana🤣🤣🤣🤣
Af mbona wanaume nyie hamjisemi, kuna wengine wanakaribia umri wa kustaafu na wako single na pengine hata mtoto wa kusingiziwa hana ila kutwa kutunanga wanawake jamani sio fair mjueDah 😁😁
Alafu acha kuongea kwa mafumbo...sii useme tuu kuwa unamuongelea mzabzab🤣🤣🤣🤣🤣Af mbona wanaume nyie hamjisemi, kuna wengine wanakaribia umri wa kustaafu na wako single na pengine hata mtoto wa kusingiziwa hana ila kutwa kutunanga wanawake jamani sio fair mjue