Wanawake wana visirani sana ila huyu wa leo kazidi

Alivurugwa huyo pahali, jina kutoa nivugimvi, hajui umuhimu wa majina ya abiria safarini? Likitokea lisilotegemewa atatambuliwa vipi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sitaki kujibu hoja yako ya kua tatizo linapona tuu unapopata pesa?

Nami nijitetee,
Nina tatizo la akili piaa, nikikutukana kwenye hii comment bila sbb utakaa kimya?
NOTE : huna uthibitisho ni kweli au si kweli...
 
Wana JF wengi ni waoga wa kuchukua picha

tukisema hii ni CHAI mtuite wakorofi
 
Mkyy picha basi
 
Aaah mmekosea sanaaa, watu kama hao wapo wengi na dawa yao ni moja tu, huyo mlikua mnamchukua mnaend kumshusha njian pasiwe stand, na hamumlipi hata mia. Mbona siku nyingine lazima angekua na heshima zake akipanda magar ya watu.
 
Sitaki kujibu hoja yako ya kua tatizo linapona tuu unapopata pesa?

Nami nijitetee,
Nina tatizo la akili piaa, nikikutukana kwenye hii comment bila sbb utakaa kimya?
NOTE : huna uthibitisho ni kweli au si kweli...
Umejuaje kama alipona baada ya kupata pesa?
Ulikua nae huko aendako wakati wewe ulisema alishuka peke yake na watoto,

Huna utaalam juu ya Afya ya Akili ndio maana umejibu kiuwepesi.
 
Talaka za usiku alfajiri fungasha wanao huleta hasira kwa kila unayemuona, si mwanaume si mwanamke wote wabaya.
 
Kuna watu midomo inawaponza sana na kujua namna ya kuishi na watu ni tatizo kubwa
 
Haya kosa la mtoa mada lipo wapi...
Maana mimi ndio hoja yangu.
Itakua na wewe una tatizo la afya ya akili,
Aliyekwambia mtoa mada ana kosa nani?
Au wameeleweshwa waliomzonga huyo Mama kua pengine huyo Mama hakua sawa kiakili
 
Itakua ni maana halisi ya jobless...
Upoteze muda wote huo kwa kamba...?
Mkuu tunapigwa kamba nyingi sana kwa watu kutaka 'kuonekana'.
kwani angemfotoa kidogo tumuone huyo 'jini kisirani' ingemgharimu nini..

halafu maisha yalivyo tight hivi hakuna mzee wa kutoa minoti ya kulipia mtu kisha amshushe.. KAMBA
 
Huyo ni mmeru...... Km Kuna nyoka na mmeru, inatakiwa unamuua mmeru unamwacha nyoka aende
 
nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na kichwa kimoja. Huyu akasome. Picha linaanza akiwa anaongea na Mama yake mzazi kwenye simu unaweza usiamini utasikia 'Mama Raja siku hizi anamk...u huoo yaani anakuwa wanamgongajee?'.
Huwa natamani sana kuleta uzi juu yake ila nahofia kumdhalilisha(siwezi).
 
Umejuaje kama alipona baada ya kupata pesa?
Ulikua nae huko aendako wakati wewe ulisema alishuka peke yake na watoto,

Huna utaalam juu ya Afya ya Akili ndio maana umejibu kiuwepesi.
Dr. Swali linajibiwa kwa swali kweliii?
Nijibu basi swali langu kwanzaa...

Halafu baadae nikuulize umesoma uzi vizuri...?
 
Daah nimecheka sana sema huko bara bara ya Kilombero watata mno watu wa Pwani mtaji wao maneno tuu ndugu zake na Mshana Jr...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…