Hiyo ni kawaida yao.Kuna mahali huwa nakweka kupata huduma.
Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.
Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.
Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.
Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia.
Namuonea sana huruma huyo binti maana anapitia magumu kwa ajili ya wivu wa kijinga.
Sasa huyu bi mkubwa ananilazimishia mwanae wakati nimemuelewa mfanyakazi wake??
Wivu mbaya sana.
Shida ipo wapi, huyo unayemuelewa namba ake utakuwa unayo, anamuita mahali unanyandua, halafu huyo binti ya bi mkubwa anakuwa msaidizi, yaani akiba (for a rainy day)Kuna mahali huwa nakweka kupata huduma.
Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.
Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.
Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.
Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia.
Namuonea sana huruma huyo binti maana anapitia magumu kwa ajili ya wivu wa kijinga.
Sasa huyu bi mkubwa ananilazimishia mwanae wakati nimemuelewa mfanyakazi wake??
Wivu mbaya sana.
Mpelekee moto!Haya mambo huwa yanakuja yenyewe tu sio kwa kuforce.
Sasa huyo binti kakosea nini??
Maana nikifika tu bi mkubwa anamuondoa fasta lazima amtume tu halafu mwanae ataniattend.
Acha kujipa sifa kijana. Subiri upewe na watu.Haya mambo huwa yanakuja yenyewe tu sio kwa kuforce.
Sasa huyo binti kakosea nini??
Maana nikifika tu bi mkubwa anamuondoa fasta lazima amtume tu halafu mwanae ataniattend.
Boss kakuona we ni husband material afu mwanae hajaolewa