Wanawake wana wivu sana

Wanawake wana wivu sana

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma.

Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.

Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.

Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.

Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia.

Namuonea sana huruma huyo binti maana anapitia magumu kwa ajili ya wivu wa kijinga.

Sasa huyu bi mkubwa ananilazimishia mwanae wakati nimemuelewa mfanyakazi wake??

Wivu mbaya sana.
 
Kuna mahali huwa nakweka kupata huduma.

Hiyo ni kawaida yao.
 
Shida ipo wapi, huyo unayemuelewa namba ake utakuwa unayo, anamuita mahali unanyandua, halafu huyo binti ya bi mkubwa anakuwa msaidizi, yaani akiba (for a rainy day)
 
Mambo ya kawaida sana hayo. Jamaa alienda chuo kumtafuta demu wake. Akakaribishwa chumbani na rafiki wa huyo demu wa jamaa. Demu akachelewa kuja. Enzi hizo hakuna simu. Muda aliokaa na rafiki wa demu wakapangana. Ni mkewe mpaka kesho.
 
Japo sizijui tabia za wanawake vizuri ila hapo Samia na CCM yake wamechangia
 
Maza kaona unachunika vizuri, hivyo kamwandaa mwanae ili pesa isiende mbali.. sasa kula wote
 
Hawa wamaza wa migahawani wana mambo za hovyo, baadhi yao hujirahisisha sana na hao watoto wao/ndugu zao.
 
Back
Top Bottom