Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma.
Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.
Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.
Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.
Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia.
Namuonea sana huruma huyo binti maana anapitia magumu kwa ajili ya wivu wa kijinga.
Sasa huyu bi mkubwa ananilazimishia mwanae wakati nimemuelewa mfanyakazi wake??
Wivu mbaya sana.