Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Itanibidi mkuu maana niko mbaliiiFanya hivo, jioni tutaenda kumuona au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itanibidi mkuu maana niko mbaliiiFanya hivo, jioni tutaenda kumuona au?
Au nitaenda pekee yangu wewe utakuja kesho 😊Itanibidi mkuu maana niko mbaliii
Weeeeh au sioo, mmmhAu nitaenda pekee yangu wewe utakuja kesho 😊
Amna nilikuwa nakutaniaWeeeeh au sioo, mmmh
Amna nilikuwa nakutania
Nitafungua akiwa active deile 😂😂Nataka nimfungulie Thread Mke wangu. Nakusubiri wewe kwanza umfungulie shemeji na mimi nafuata😂
Kama alipotea wiki nzima, unasemaje yuko active 😂😂Yuko active mbona, mpaka anakuonea wivu sio mchezo
Umeamua kukoleza kabisa mkuu 😂😂You’ll lose a lot of money, chasing women. But you’ll never lose women, chasing money.
Big point mkuu🙌Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.
Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.
Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.
Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?
This is because you will find out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).
Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.
Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.
Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.
Mmmh which kinda posts are you talkingThey can't see my posts. Why?
Ndiyooo ila akipona ntamfungulia mkuuC alikuwa anaumwa lakin, mbona unataka kuchezea bahati ww
Usimwite mkuu mida yake usikuuu😂😂Fanya hivyo, au nimwite awe kama shahidi?
Fanya hivyo, au nimwite awe kama shahidi?
Umeamua kukoleza kabisa mkuu 😂😂
Mbona tumeiona hii 😂😂😂Ujumbe huu unaona wewe tu, unasubiri kupitiwa na moderators ili uonekane kwa umma!
Nilikuwa naona ujumbe una maandishi ya red unasema naona mimi tu
Ni kweli mkuuKwa lugha rahisi ni kwamba, tafuta hela tu, hayo mengine yatajiweka kwenye nafasi yanayostahili.