Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana, ushindwe tu wewe😅Naona mimi tu hapa, wengine wote vipofu
Ila min bwanaaa hahahhKijana, ushindwe tu wewe😅
Ila min bwanaaa hahahhKijana, ushindwe tu wewe😅
Ndio hivyo mkuu, inabidi achakarike kijana😆Ila min bwanaaa hahahh
Anazembea wakati mm nataka nione mbio za sakafuni huishia wapi vileee 😕😕😂😊Fanya haraka mkuu, utakuta mwana si wako😁😁
Haaaaaaa!!!!!! 😬😬Fresh tu, sio mbaya acha waruke nae😂
Umekata tamaa mapema sana ,subiri uone usije ku nuna lakini 😅Fresh tu, sio mbaya acha waruke nae😂
😁😁😁Namwogopa mke wangu asije kuona hizi posts
Anadai mke wake ataona eti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anazembea wakati mm nataka nione mbio za sakafuni huishia wapi vileee 😕😕😂😊
Inaonekana kijana hajui chama cha uchepukaji tzAnadai mke wake ataona eti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani kanipiga kibega alafu kashindwa kumalizia riadha 🏃Anadai mke wake ataona eti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona kama unajilaumu mkuu 😂😂😂Madhara ya kuoa mapema haya😂
Mke kivip mkuu😅Lakini si una mke wewe😂😂
Huu ni uongoTatizo lipo kwenu, mnafikiri mchango wenu kwa mwanaume ni sex tu. Mwanaume ambae umemsaidia mawazo mazuri, connection, network, fedha n.k kuanzia kwenye starting line sio rahisi kukuacha akifika finish line., but if all the way what you brought to the table is pussy tegemea kuachwa tu.
Ila pia ukifikanikiwa kumpata aliye tayari kuwa na wewe kuanzia kwenye mwanzo wa marathon yako, mheshimu sana. Kwa sababu ya ugumu mkubwa ulioko kati ya starting line na finishing line mara nyingi mwanamke akiambatana na wewe kwenye safari hii lazima afike kwenye finishing line akiwa kachoka, kasahau fashions n.k. Tukumbuke tulipotoka, tuwapende na kuwaheshimu sana wanawake wema waliosimama nasi tulipokuwa hatuna kitu.Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.
Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.
Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.
Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?
This is because you will find out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).
Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.
Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.
Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.
Ukweli ni upiHuu ni uongo