Wanawake wanamidomo michafu sana

Pole sana...

Wanaume tumejaliwa nguvu lakini ushawishi waaneno ya kujibizana sifuri... Kwenye ugomvi wa mwanaume maneno ni machache sana vitendo zaidi...


Wanawake wamenyimwa nguvu, ila wamebarikiwa maneno ya kujibizana... Kwenye ugomvi wa mwanamke, maneno zaidi vitendo sifuri...


Cc: mahondaw
 
Uko sahihi sanaaa mkuu!!!!!
 
Ulipaswa useme "baadhi ya wanawake" sio Wanawake.

Kwasababu kuna wanawake wamefunzwa vizuri adabu kwao na hana uhusiano na mashost wa kiswahili.

Ukimzingua anaishia kulia.
 
Pole sana kwa yaliyokukuta weekend tamu tamu kiasi hiki.....!!!
 
Ila kuna mda pia jmn mwanume anakukwaza hadi unahisi kupasuka na hata maneno yanapotokea hapajulikani[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Pole sana kwa yaliyokukuta weekend tamu tamu kiasi hiki.....!!!
Kuanzia leo wanawake wenye sifa hiz ndizo wenye midomo michafu, hawanachura,wembamba,wanapenda kusuka rasta,mashav yao yameingia ndani na ole wako umkute amevaa kisuruali na ka-khang amefungia kwa juu siku hiyo utakiona cha mtema kuni
 

Tehtehteh sikuhizi nimeokoka love Sinaga maneno mkeo
 
Ulipaswa useme "baadhi ya wanawake" sio Wanawake.

Kwasababu kuna wanawake wamefunzwa vizuri adabu kwao na hana uhusiano na mashost wa kiswahili.

Ukimzingua anaishia kulia.

sure
 
Baadhi yao wana midomo sana

Ila kupiga Mwanamke ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…