Hususani wale vimbaumbau ni hatar sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hususani wale vimbaumbau ni hatar sana
Tena wakionaga haitoshi wanakusanyana mafungu mpaka mlangoni hapo ndo utatia akili
HahahahHata biblia inawajua
Na wala hawawezi kushindana, kwa mdomo tu tunayo best....Binafsi Huwa nasema Mwanaume hatakiwi kushindana na mwanamke. Atapoteza kesi tu aisee[emoji38] [emoji38]
Uko sahihi sanaaa mkuu!!!!!Unaongea usioyajua.
Mara sijui Mama, sijui blah blah!
Hapa anayezungumziwa ni Mwanamke haijalishi yupo katika nafasi gani.
Sijui Mama, sijui Bibi au Shangazi haiwaondolei uanamke wao.
Pia zipo Sifa mbaya za wanaume kama Ubabe, au uchepukaji. Haijalishi ni Babaangu au Ankoo haiondoi uanaume wao.
Kwa vile ni Mama au ni Baba akiwa na mapungufu ndio tukae kimya.
Zama hizo zilipita Mkuu.
Pole sana kwa yaliyokukuta weekend tamu tamu kiasi hiki.....!!!Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balaa zaidi napele ambapo unakua ushawahi kumgegeda alafu unakibamia hapo ndoutajita kumfaham
Kuanzia leo wanawake wenye sifa hiz ndizo wenye midomo michafu, hawanachura,wembamba,wanapenda kusuka rasta,mashav yao yameingia ndani na ole wako umkute amevaa kisuruali na ka-khang amefungia kwa juu siku hiyo utakiona cha mtema kuniPole sana kwa yaliyokukuta weekend tamu tamu kiasi hiki.....!!!
Pole sana...
Wanaume tumejaliwa nguvu lakini ushawishi waaneno ya kujibizana sifuri... Kwenye ugomvi wa mwanaume maneno ni machache sana vitendo zaidi...
Wanawake wamenyimwa nguvu, ila wamebarikiwa maneno ya kujibizana... Kwenye ugomvi wa mwanamke, maneno zaidi vitendo sifuri...
Cc: mahondaw
Tupe mstari mkuu...Hata biblia inawajua
Ulipaswa useme "baadhi ya wanawake" sio Wanawake.
Kwasababu kuna wanawake wamefunzwa vizuri adabu kwao na hana uhusiano na mashost wa kiswahili.
Ukimzingua anaishia kulia.
Uokoke kidogo... Ukikoka sana its boring...Tehtehteh sikuhizi nimeokoka love Sinaga maneno mkeo